Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Nilifilisika ma benki wakauza nyumba zangu 3 nikarudi maisha ya kupanga tena uswahilini
Serikali ndio chanzo madeni ya miradi ujenzi karibu billion moja.
Haya maisha yana mateso mengi mno kuwa tajiri na ukafilisika kunauma mno.
 
Duh...i can feel u....pole sana..lakini mara nyngi tajiri aliyepata hela kihalalo hat akifilisika anaweza kurudi juu kama kawa!kazana
 
Bado nipo nae.

Huyu dada nilianza kuwa nae nikiwa siwezi kusema nina kitu kihivyo. Kwahyo bado yupo. Japo kuwa upungufu wa pesa unaleta stress muda mwengine kwenye mahusiano ila bado tupo wote.

Huyo demu bado uko nae?[emoji23][emoji23]

Atakuwa kakimbia nyie mambo yakienda hovyo mnahama foleni isiyotembea mnahamia foleni inayotembea asilimia kubwa.
 
Bado nipo nae.

Huyu dada nilianza kuwa nae nikiwa siwezi kusema nina kitu kihivyo. Kwahyo bado yupo. Japo kuwa upungufu wa pesa unaleta stress muda mwengine kwenye mahusiano ila bado tupo wote.
Huyo anakupenda
 
Bora wewe aisee.

Hiyo pikipiki kama ni ya biashara inakupatia walau ngap kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…