Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Pesa ya mkopo au ya dill usifanyie biashara.We 4m zinakuumiza,mi nishawahikopa 20M zikapotea heri ningefungulia hata zipu,nimejaribu bnezz nyingi nimeambulia hasara kwa miaka 15 ni jumla ya 120M zimepotea sijakata tamaa napambana bado najua iko siku.Huwezi kuwa tajiri bila kufilisika hata uwe smart vipi
 
Kwanini hela ya mkopo isifanye biashara, fafanua
 
Hhh hukuwa ukiwaza kuwa ilo danga lina familiaa
 
Hela ya bando umetoa wapi?
 
Kuna jamaa mmoja ambae amefanikiwa sana kwenye biashara. Sasa hivi ndo namtumia huyu kupata ushauri na information nyengine.

Nakumbuka aliniambia, usianzishe biashara na hela ya mkopo, chukua mkopo kukuza biashara ndogo ambayo tayari ulishaianza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…