Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

alooo bajaji miaka ya 2000 zilikuepo kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
young d miaka ya 2000 alikua mkubwa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii itakua chai ya babu chai from zenji
 
Bora wewe 70 mimi kuna mtu nimemfungulia salon na niko mwenyewe kwanza na check upepo week nzima imeingia tsh 2500 hahahah saloon ina week 2. Na hlo eneo salon ni mimi tu
Watazoea
 
Kufilisika kusikie tu. Binamu yangu alipataga mil. 600. Aliuza nyumba mikocheni , akanunua nyingine Mbezi beach milioni 200, na kuifanyia finishing iliyokuwa imebaki. Milioni 350 ziliisha hivihivi, alifungua duka la spear used za magari likafa etc. Aliishiwa hata hela ya nauli alikosa. Mbaya zaidi watoto na mkewe walimtenga kwa kuugua. Alikufa mwaka jana na stress.
 
Tuwe na tabia ya kuwa na mipango ya biashara hata kabla ya kupata pesa. Itasaidia kujua hela inaenda wapi pindi mgodi ukitema.

Pia, sio lazima kutumia pesa kuingiza kwenye biashara. Chukua muda kufanya maamuzi, unaweza kuiweka kwenye fixed deposit ukisubiri akili ikae sawa kwanza.0
 
Siku zitaponitembelea zinakua kama mimi tu ni mpambanaji hivyo ntakua na adabu nwzo nazo zitakua na adabu nami pesa usipoiheshim
 
Huyu kweli bwege mtozeni, yaani alikuwa alishapaga formula ya maisha kabisa. Umeuza nyumba for 600mil sii tayari hapo ulishajua kuwa nyumba ndio dili angeedelea na business ya nyumba tuu
 
Ilikuwaje ukafilisika? Au ndio mbususu na pombe
 
Kufilisika kupo kwa namna mbalimbali ila kwa watumishi waliowahi sitishiwa mikataba ama kufukuzwa kazi huwa ni zaidi ya kufilisika.

Haya maisha tuyaone hivi hivi ila kama Mungu kakuandikia wewe utafikia ngazi fulani hakuna wa kupinga.

Ngoja nikomee hapa kwa leo
 
Aisee pole yake...!! Kiukweli hela kama hazalishi au inatumika zaidi kuliko kuingiza hata ukiwa na 1Bilion itaishaaa tuu na hutaamini kama imeishaa na ubaya wengi ikiisha hawakubaliani na hali halisii kufa na stress nje nje muone Jamaa Idriss alivyopambana na kukubali ukweli kuwa Mil 400 zilikwenda na majiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…