Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Sawa bossHuu Uzi ni kwa ajili ya waliofilisika, msitake kubadili lengo la Uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bossHuu Uzi ni kwa ajili ya waliofilisika, msitake kubadili lengo la Uzi.
alooo bajaji miaka ya 2000 zilikuepo kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesoma comments zote kiukweli zinafurahisha,kuhuzunisha na kukejelisha pia[emoji28].
Ebu mie niwape yangu japo Mungu alijua kurudisha Upinde kwangu baada ya kuuvunja wa mwanzo.
2000's (censored) nipo mwaka wa Mwisho chuo,napokea simu ya mzee "maliza uje kuna kazi nimekutafutia uje uanzie maisha".
Mwana tii!! Nadondoka job kwa cheo kikuubwa (ambacho wewe kama unge apply wangetaka 5 yrs experience,4.5+ GPA na makolokolo kibao)[emoji28],mie hiyo nimezama sijapata hata gamba chuoni litakuja mbele ya safari chezeea!!
Salary per month around 2M+ na mashehena kibaoo hapo toa madili na vishoka somewhere!!
Mchawi/wa kumlaumu ni "dereva wa bajaji" dogo junk flani hivi ..mwanzoni mwanzoni hapo natafuta pipi tu sijavuta hata kigoda cha mzungu aka Ndinga...huyo dogo ndio alikuwa ananitoa home mpaka job na kunirudisha kwa malipo ya mwezi kipande cha MIKOCHENI hapo...
Kipindi naanza job full kupiga kazi hasa mpaka mida ya saa mbili usiku hukoo ndio naachia ofisi...dogo wa bajaji hyo ratiba alikuwa anaijua...pia alijua mausha yangu yote kama nipo single...siku ya siku akanichoreshea kiramani flani "braza kwaninj uteseke kurudu home night wakat kuna pande flani unaweza kupozi na ukala matunda ya peponi"[emoji28].
Kwa kuanzia nikapelekwa "Massage Parlor" moja matata mnooo yani yani yani yani acheni tu.!!!
Kuingia watoto wa kila rangi afu wamesimama kama mwibaa hasaaa....(wazuri)..dogo akamuita matroni[emoji28][emoji28] "braza haya mambo ni mpya,mpe Menu atakayo shindwa kuisahau milele" ...matroni[emoji860]"yupo njema?!!"...dogo[emoji860]"weee mama wewee mie sitembeagi na wauza matunda[emoji28]"
Matroni[emoji860]"kama vipi na mie naingia mzigoni na vijana wangu kama 2 3 hv tusimamie show ya mgeni muheshimiwa mpya"
Dogo[emoji860]"fanya hivyo utakuja kunishukuru badae mchizi ana jiwe hasaa"
FUPISHA STORY:
Wanangu ee wa JF
Watoto wa hiyo parlor walichukua namba yangu wakaanza kuwa wananitafuta privately kila mmoja anataka kutumia opportunity kibinafsi.....
Dogo akanipeleka saloon hiyo wananyoa Mastaa tu full vidada vya instagram na bongo movie kibaoo hapo
Picha linaanza naingia tu kutupa jicho mwanangu Byser huyo hapoo mbele!! Sijacheki pembeni Nyandu tozy yule paleee naanza kuambaa ambaa Naona kiti cha kupumzikia ka chill Young dee paka rapper!!!
Nilivyotoka kunyoa pale naanza kupokea meseji kibao "braza mie msanii,najua kuimba nisimamie"
Mwingine "kaka mie ni model nahitaji support ya mavazi,location na cameraman wa maaana"!!
ITAENDELEA
But now Mungu kanipa second chance although najua laana zote za hapa bongo kupitia huyo "dogo wa bajaji"....
Nakutafta rafikii au cyo [emoji851]Siku nikizipata nataka niexperience bata la M5 Kwa usiku mmoja linakuwaje maana kwa wengi hiyo ni budget ya harusi ya kifahari.
Mungu tupe Wanawake wa kijutuma kama huyuAisee kuna mwanawake wakuoa!
Mmmh nyie hamna matakoo!!!!? Mnakaaje Sasa hamsikii maumivu..[emoji848][emoji848][emoji848]Sie kwetu hakuna matako wala watu wengi wana English figure
Unaweza Kuta naye anamatako makubwa tu lakn akili kichwanUmeona...sio tunakalia kuangalia matako tuu.
Kwahyo unampa tu jicho. Ili upew hyo helaUnajua shida ni kua kila mtu ana bahati yake kuna mwenye bahati ya wanapewa hadi mil 100 na bado mwanaume wake akawa mtu mzuri
Na bado ukapata mwanaume hana kila kitu lkn starehe yake ikawa ni jicho
Kuna sehem yyte nmeandika natoa jicho ili nipewe pesa?!Kwahyo unampa tu jicho. Ili upew hyo hela
Tunakalia midomoMmmh nyie hamna matakoo!!!!? Mnakaaje Sasa hamsikii maumivu..[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23] eti ee, kumbeTunakalia midomo
WatazoeaBora wewe 70 mimi kuna mtu nimemfungulia salon na niko mwenyewe kwanza na check upepo week nzima imeingia tsh 2500 hahahah saloon ina week 2. Na hlo eneo salon ni mimi tu
thanksWatazoea
Kufilisika kusikie tu. Binamu yangu alipataga mil. 600. Aliuza nyumba mikocheni , akanunua nyingine Mbezi beach milioni 200, na kuifanyia finishing iliyokuwa imebaki. Milioni 350 ziliisha hivihivi, alifungua duka la spear used za magari likafa etc. Aliishiwa hata hela ya nauli alikosa. Mbaya zaidi watoto na mkewe walimtenga kwa kuugua. Alikufa mwaka jana na stress.Kati ya mwaka 2011-2015 nilikuwa ktk standard nzuri kiasi kimaisha, biashara nzuri, usafiri binafsi na viwanja 2 mjini, pesa ya kuzungukia mjini na mafuta haikuwa shida..ninapoandika comment hii kesho sifahamu nakula nini! Nimefilisika! Hakuna hata ndugu anaenipigia simu tena maana naonekana kituko. Wakuu tuombeane tu..kufilisika kuna maumivu ambayo si rahisi kuyaandika hapa.
Tuwe na tabia ya kuwa na mipango ya biashara hata kabla ya kupata pesa. Itasaidia kujua hela inaenda wapi pindi mgodi ukitema.Kufilisika kusikie tu. Binamu yangu alipataga mil. 600. Aliuza nyumba mikocheni , akanunua nyingine Mbezi beach milioni 200, na kuifanyia finishing iliyokuwa imebaki. Milioni 350 ziliisha hivihivi, alifungua duka la spear used za magari likafa etc. Aliishiwa hata hela ya nauli alikosa. Mbaya zaidi watoto na mkewe walimtenga kwa kuugua. Alikufa mwaka jana na stress.
Huyu kweli bwege mtozeni, yaani alikuwa alishapaga formula ya maisha kabisa. Umeuza nyumba for 600mil sii tayari hapo ulishajua kuwa nyumba ndio dili angeedelea na business ya nyumba tuuKufilisika kusikie tu. Binamu yangu alipataga mil. 600. Aliuza nyumba mikocheni , akanunua nyingine Mbezi beach milioni 200, na kuifanyia finishing iliyokuwa imebaki. Milioni 350 ziliisha hivihivi, alifungua duka la spear used za magari likafa etc. Aliishiwa hata hela ya nauli alikosa. Mbaya zaidi watoto na mkewe walimtenga kwa kuugua. Alikufa mwaka jana na stress.
Ilikuwaje ukafilisika? Au ndio mbususu na pombeKati ya mwaka 2011-2015 nilikuwa ktk standard nzuri kiasi kimaisha, biashara nzuri, usafiri binafsi na viwanja 2 mjini, pesa ya kuzungukia mjini na mafuta haikuwa shida..ninapoandika comment hii kesho sifahamu nakula nini! Nimefilisika! Hakuna hata ndugu anaenipigia simu tena maana naonekana kituko. Wakuu tuombeane tu..kufilisika kuna maumivu ambayo si rahisi kuyaandika hapa.
Aisee pole yake...!! Kiukweli hela kama hazalishi au inatumika zaidi kuliko kuingiza hata ukiwa na 1Bilion itaishaaa tuu na hutaamini kama imeishaa na ubaya wengi ikiisha hawakubaliani na hali halisii kufa na stress nje nje muone Jamaa Idriss alivyopambana na kukubali ukweli kuwa Mil 400 zilikwenda na majiii.Kufilisika kusikie tu. Binamu yangu alipataga mil. 600. Aliuza nyumba mikocheni , akanunua nyingine Mbezi beach milioni 200, na kuifanyia finishing iliyokuwa imebaki. Milioni 350 ziliisha hivihivi, alifungua duka la spear used za magari likafa etc. Aliishiwa hata hela ya nauli alikosa. Mbaya zaidi watoto na mkewe walimtenga kwa kuugua. Alikufa mwaka jana na stress.
Ni kweli kabisa, naogopa sana dhulma, utachekelea lakini mwisho wa siku utalia. Kuna watu nawajua walipata hela za dhulma, sasa hivi wanatia huruma.Hakika! Umemaliza.