Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Hela kiasi chochote ukipata bila jasho na bila kuwa na master plan ya maisha yako kuhusu maendeleo yako ya kiuchumi, pesa hiyo itapotea tu. Pesa ya wizi na dhulma ipo siku utaanguka tu. Katika uzi huu binafsi nimejifunza mengi, inabidi uwe na mpango wa matumizi na uwekezaji kabla hata hujapata pesa na siku ukipata ni kuanza kutekeleza mpango wako sio kuanza kufikiria ufanyie nn. Pia tamaa ya kutamani vikubwa hadi kudharau ulichonacho haifai kabisaNilishawai kufanya kazi ya marketing kwenye company moja that sitautaja jina and i was 18 than siyo siku nyingi sana, katika pita pita zangu za kazi nikakutana na mtu akanipa kazi ya tender ya 100 mil na kitu nikapata 10% yangu .. anyways nilipata
30 million.. kiukweli nikijifunza that ukipata hela without a plan it is like catching air anyways nilikuwa natamani sana gari flani i bought it and zingine nikafanya shopping no business whatsover and hela yote ikaisha.. il never forget. I learned alot from that experience...