gilberto de rico
Senior Member
- Feb 7, 2019
- 164
- 121
huu Uzi una inspire pia unafundisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishika mil 12,400,000 mwaka 2015 mwezi wa pili nilichanganyikiwa, akili ilinikaa baada ya kubakiwa na laki 2, Leo Nina mtaji wa mil 1.7 nina heshima nao hatareee
[emoji16][emoji1787]Kweli umechanganyikiwa kaka, naona unaji quote mwenyewe na kujijibu mwenyewe, View attachment 1052059
Tajiri yetu wa JF Kiduku Lilo apitie hapa isijetokea siku tukamkuta nae anapanda guta badala ya Range rover...
Unga???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ndiyo.Unga???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hii itakua projekt ya q net[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hio mipango yako ya kuwasaidia baada ya kupokea pesa imenifurahisha
kweli mkuu, mzee anazamia chimbo noma. Nimejifunza katika kutafuta inakubidi upambane sana ikibidi uiache familia kwa muda ukasake ngawiraMzee noma sanaa...!! Hakati tamaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
ahahahaa, mzee ni mafiaHua ananiambia kama kweli wewe ni mwanaume fanya niliyoyafanya au zaidi niliyoyafanya..2009 alizamia bondeni bila hata mwenyeji. Anakuambia alikula mikate mwezi anaishi stendi.
Alikaa kama mwaka na nusu huko. Alirudi yulo vizuri kuasi ila anakuambia ili laifu lisonge dona ilihusika kuuzwa
HahahhahahahaNiliwahi kupewa na mama laki 500,000 enzi hizo ili nifanye biashara nilikuja kushituka nimebaki na Elfu 80000: sitasahau hicho kipindi njia nzima naongeaa pekee yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.Mwezi wa 6 mwaka huu nlipata mlion 1.6, yani zaidi ya kulipa deni la laki 3 hizo nyingine sijui zimeenda wapi..