blackman jr
New Member
- Oct 23, 2019
- 3
- 18
Uzi bora sana huu .endeleeni kucomment ili ambao bado hatujui sababu zinazoweza Fanya MTU afilisike tuzijue,,,,GRACIAS A TODOS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli mkuu, inategemeana na mtu.Ujue pesa ina shida fulani. Kama hujazoea kuimiliki, siku ukiipata ghafla lazima uchizike. Usipokuwa na adabu na pesa yako, itakutesa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, Kongole!Si kweli mkuu, inategemeana na mtu
Mimi nilikuwa sijawahi kumiliki hata laki, nikiwa nasoma srkondari, siku nikapata milioni 1.5 na bado nikaitumia vizuri tu bila mapepe
Nilikuwa nikipata mshahara wa laki 2.5 ndani ya miaka 2 nikawa napokea milioni 2.5, ongezeko la 1000% na sijabadilika sijui kwa kuchanganyikiwa
Masikini hafilisiki.Duh 250m kwa miezi 14...
Kweli sisi wengine bado hatujawahi shika hela wala hatujawahi fulia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua Idris Sultan weweDah..... Shimo lilitema...nikakamata kama 500m....nikazunguka dunia nzima.... Siku nashuka JNIA najikuta Nina $75 tu....nikaona nikalewe tu[emoji87]
Kati ya mwaka 2011-2015 nilikuwa ktk standard nzuri kiasi kimaisha, biashara nzuri, usafiri binafsi na viwanja 2 mjini, pesa ya kuzungukia mjini na mafuta haikuwa shida..ninapoandika comment hii kesho sifahamu nakula nini! Nimefilisika! Hakuna hata ndugu anaenipigia simu tena maana naonekana kituko. Wakuu tuombeane tu..kufilisika kuna maumivu ambayo si rahisi kuyaandika hapa.
kweli mkuu, mzee anazamia chimbo noma. Nimejifunza katika kutafuta inakubidi upambane sana ikibidi uiache familia kwa muda ukasake ngawira
[emoji1787][emoji1787]Napegemea kupata pesa hivi karibuni so, baada ya kuhitimu kozi kadhaa hapa kwenye huu uzi, natumai kuwa nazo hadi kuzikwa kwangu