Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umejuaje kama sio demu?Nilikua najua ww nidemu kifinga
Hadi instagram anasema ilikuwepoalooo bajaji miaka ya 2000 zilikuepo kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
young d miaka ya 2000 alikua mkubwa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii itakua chai ya babu chai from zenji
hiyo milion 1.3 alikupa nani?Nakumbuka 2018 wakati bado nilkuwa o-level niliweza kubana pesa kuifikia kiasi cha laki 7 ni kapata wazo la kuwekeza ktk kilimo cha mihogo wilayani mkuranga kata ya hoyoyo kijiji cha hoyoyo. Bahati mbaya mvua ikawa adimu jua kali mbegu yote ikauka nikaweka nyngne pia nayo hvohvo nikakata tamaa kutokana na ckuwa na pesa nyngne na istoshe nilkuwa naingia kidato cha nne ambapo nilitakiwa kuspend much time kweny masomo. Nakumbuka iyo siku nilrudi nyumbani nimechanganyikiwa nililia sana nikaona kama mkosi. Mungu c Athuman nilipokea kiasi cha shilingi million moja na laki tatu kweny bank account yangu. Sikuamini nikaacha week ipite hatimae mwezi hamna mtu aliyenitafuta, nilifatilia bank kama Kuna miss deposits nikaambiwa hamna tatzo nikatoa pesa zote nikanunua kiwanja Alhamdulillah machungu yalifutika
Starehe!Ulipata changamoto Gani mpka ukauza nyumba mkuu
noma sanaStarehe!
Pole mkuu,vita bado inaendeleaStarehe mnazipenda ila mwisho wake MBAYA. Wengi wameteketea kwa kuendekeza UMALAYA.
Ishi vizuri, kula vizuri, fanya mazoezi na umrudie Muumba wako.
___________________________________________________________
Nikiwa na miaka 24 pindi tu baada ya kuhitimu elimu yangu ya chuo kikuu niliingia mtaani, akilini na moyoni nikiwa na hari ya kuanzisha kampuni yangu. Ndoto niliyokuwa nayo tokea naingia form 3 ambapo niliacha masomo ya sayansi na kufwata kile moyo ulichoniambia KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA.
Basi bana mwaka wa kwanza ukaisha nipo kitaa, moja haisimami mbili haikaii. Mwaka uliofwata nikiwa mtaani, nikaaanda mpango wangu biashara (ambao kwa sasa nikiusoma naona makosa mengi sana) nikaongea na wadau wawili watatu kupata mtaji wa biashara. Mungu si athumani wala hadija nikafanikiw kupata mtaji wa shillings 60,000,000.
Nikaingia kwenye biashara ya ununuzi (ulanguaji al-maarufu KANG'OMBA) korosho huko Mtwara wilaya ya Masasi. Simu wa kwanza mambo yalienda vizuri hela ilirudi. Nikaamua kwenda Uganda kufanya utafiti biashara ya mchele kule sasa mambo ndipo yaliponiendea kidogo kombo maana nilianza kupoteza taratibu pesa.
Long story short, nilikuja kupoteza pesa Million 60 shwwaaaaaa zikapotea zoootee kwenye korosho pale mzee baba (sijui huko alipo ni kiongozi wa malaika au anapigwa kama ngoma au ameenda kuwa umbwa marekani) aliposema serikali inaubavu wa kununua korosho (nyooo walijuta kilichowakuta)
Nimekaa miaka 5 kitaa sina uelekeo zaidi ya kuwa chawa kwa mwanangu wa ukwelii . Ila nilichojifunza ukianguka chukua mda kunyanyuka angalia mazingira ulipodondokea ukiwa bado chini,yatadhmini mazingira husila kisha ndio unyanyuke.
IMEKUWA MAUMIVU MAZITO ILA AKILI YA KUYASHINDA NILIJAALIWA NA MUNGU
Uyu C Hamis Kweli!!!?😮😮😮Kuna jamaa yetu alipewa hela baada ya mzee wake kufariki million 29.Kipindi hiko kuna nyumba inauzwa million 7 tukamshauri anunue wapi.Yeye alidai mipango yote bandari salama.Bwana kwanza hiyo safari kutoka Kahama to Dar ,Nzega alilala huku anakula bata,Singida hivyo hivyo Dodoma bata kwa kwenda mbele,Moro mwendo uleule.Baada ya mwaka kupita namuona tena Kahama nilimwambia "ntakutandika makofi ".Baada ya kuanza kuniambia kaka unajua hutu tubiashara twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu tunalipa watu hawajui tu.Kwa sasa hana hata 100 tunambeba ndugu yetu kinachopatikana tunagawana.
Sio Hamisi.Uyu C Hamis Kweli!!!?😮😮😮
😂😂😂😂2017 hapo nikiwa bado nipo chuo na penzi limekolea kwa mpenzi wa Maisha yangu. Ananipa mtaji wa sh laki 1 na 50 nikanunua dagaa Nyasa wale ili niwe nauza Dar.
Kabla ya hiyo biashara nilishafanya biashara kama kuuza sabuni na yebo yebo nilikua napeleka Masasi na Mwanangu James Ila akaja nidhulumu nikapotezea.
Basi bwana kwenye Maisha yangu sikuwahi kuwaona dagaa nyasa hapo kabla so Mara ya kwanza nikawaona nilipoenda songea nikawapenda.. Hivyo nikamuomba mchumba anisaidie mtaji ili niwalete Dar niuze kweli nikachukua sampuli dumila 10 nikaja nao dar kisha nikaenda kwenye magenge makubwa yale kuwapelekea wengi walikataa ikabidi niwape bure kisha wauze kama watanunulika basi tufanye biashara hapo baadae bado walikataa[emoji16] Ila magenge manne yakakubali nikaacha na namba za simu basi hazikuzidi siku 3 nikapigiwa simu tukaongee.
Basi bila hiyana nikajivuta tukakubaliana niwe napeleka mzigo nawaachia wanauza ukiisha Nafuata pesa.. Aisee nakiri wazi Moja Kati ya biashara ambayo siwezi isahau ni ile ilikubali nikawa napata mshiko wa maana(kiuanafunzi) Maisha yakabadilika japo mwanafunzi kusafiri Mara kwa Mara nikichukua mzigo wa laki 2 faida laki 2 ikaja mpaka Kule nilipokua nanunua wakawa wananipa mzigo kwa Mali kauli kutoka na mzunguko mkubwa.kufipisha stori niliweza kumiliki 3M+ bank zilizotokana na biashara ile nikiwa mwanafunzi na pikipiki(bodaboda) pia geto Kali Lakini vilipotea ndani ya wiki Moja tu baada ya kutapeliwa kwa mtu niliyemuamini kupita kiasi.
Shukrani kwa brother wangu alinihifadhi kwake na kunifariji maana ningejitundika kwa mawazo ule mwaka 2018 nilipoteza kila kitu mwishowe hata shule ningepoteza. Nilikuja kuinuka tena 2019 mwishoni Ila nikaja kupigwa na kitu kizito kwa uchawi qmmake ile unapika chakula Asubuhi mchana kimechacha Maisha ni Vita.
Maisha Vita ndugu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmependa mbinu yako ya kuwaachia mzigo ukikubali mfanye biashara big up mwamba.2017 hapo nikiwa bado nipo chuo na penzi limekolea kwa mpenzi wa Maisha yangu. Ananipa mtaji wa sh laki 1 na 50 nikanunua dagaa Nyasa wale ili niwe nauza Dar.
Kabla ya hiyo biashara nilishafanya biashara kama kuuza sabuni na yebo yebo nilikua napeleka Masasi na Mwanangu James Ila akaja nidhulumu nikapotezea.
Basi bwana kwenye Maisha yangu sikuwahi kuwaona dagaa nyasa hapo kabla so Mara ya kwanza nikawaona nilipoenda songea nikawapenda.. Hivyo nikamuomba mchumba anisaidie mtaji ili niwalete Dar niuze kweli nikachukua sampuli dumila 10 nikaja nao dar kisha nikaenda kwenye magenge makubwa yale kuwapelekea wengi walikataa ikabidi niwape bure kisha wauze kama watanunulika basi tufanye biashara hapo baadae bado walikataa[emoji16] Ila magenge manne yakakubali nikaacha na namba za simu basi hazikuzidi siku 3 nikapigiwa simu tukaongee.
Basi bila hiyana nikajivuta tukakubaliana niwe napeleka mzigo nawaachia wanauza ukiisha Nafuata pesa.. Aisee nakiri wazi Moja Kati ya biashara ambayo siwezi isahau ni ile ilikubali nikawa napata mshiko wa maana(kiuanafunzi) Maisha yakabadilika japo mwanafunzi kusafiri Mara kwa Mara nikichukua mzigo wa laki 2 faida laki 2 ikaja mpaka Kule nilipokua nanunua wakawa wananipa mzigo kwa Mali kauli kutoka na mzunguko mkubwa.kufipisha stori niliweza kumiliki 3M+ bank zilizotokana na biashara ile nikiwa mwanafunzi na pikipiki(bodaboda) pia geto Kali Lakini vilipotea ndani ya wiki Moja tu baada ya kutapeliwa kwa mtu niliyemuamini kupita kiasi.
Shukrani kwa brother wangu alinihifadhi kwake na kunifariji maana ningejitundika kwa mawazo ule mwaka 2018 nilipoteza kila kitu mwishowe hata shule ningepoteza. Nilikuja kuinuka tena 2019 mwishoni Ila nikaja kupigwa na kitu kizito kwa uchawi qmmake ile unapika chakula Asubuhi mchana kimechacha Maisha ni Vita.
Pole sana mkuu mi mwenyewe nimeingizwa town juzi tu mwezi august na mwanangu sana baada ya kumaliza chuo hata sikuamini ila namshukuru Mungu saiv nishajipata.2017 hapo nikiwa bado nipo chuo na penzi limekolea kwa mpenzi wa Maisha yangu. Ananipa mtaji wa sh laki 1 na 50 nikanunua dagaa Nyasa wale ili niwe nauza Dar.
Kabla ya hiyo biashara nilishafanya biashara kama kuuza sabuni na yebo yebo nilikua napeleka Masasi na Mwanangu James Ila akaja nidhulumu nikapotezea.
Basi bwana kwenye Maisha yangu sikuwahi kuwaona dagaa nyasa hapo kabla so Mara ya kwanza nikawaona nilipoenda songea nikawapenda.. Hivyo nikamuomba mchumba anisaidie mtaji ili niwalete Dar niuze kweli nikachukua sampuli dumila 10 nikaja nao dar kisha nikaenda kwenye magenge makubwa yale kuwapelekea wengi walikataa ikabidi niwape bure kisha wauze kama watanunulika basi tufanye biashara hapo baadae bado walikataa[emoji16] Ila magenge manne yakakubali nikaacha na namba za simu basi hazikuzidi siku 3 nikapigiwa simu tukaongee.
Basi bila hiyana nikajivuta tukakubaliana niwe napeleka mzigo nawaachia wanauza ukiisha Nafuata pesa.. Aisee nakiri wazi Moja Kati ya biashara ambayo siwezi isahau ni ile ilikubali nikawa napata mshiko wa maana(kiuanafunzi) Maisha yakabadilika japo mwanafunzi kusafiri Mara kwa Mara nikichukua mzigo wa laki 2 faida laki 2 ikaja mpaka Kule nilipokua nanunua wakawa wananipa mzigo kwa Mali kauli kutoka na mzunguko mkubwa.kufipisha stori niliweza kumiliki 3M+ bank zilizotokana na biashara ile nikiwa mwanafunzi na pikipiki(bodaboda) pia geto Kali Lakini vilipotea ndani ya wiki Moja tu baada ya kutapeliwa kwa mtu niliyemuamini kupita kiasi.
Shukrani kwa brother wangu alinihifadhi kwake na kunifariji maana ningejitundika kwa mawazo ule mwaka 2018 nilipoteza kila kitu mwishowe hata shule ningepoteza. Nilikuja kuinuka tena 2019 mwishoni Ila nikaja kupigwa na kitu kizito kwa uchawi qmmake ile unapika chakula Asubuhi mchana kimechacha Maisha ni Vita.
Biashara ni mbinu na lazima uwe risk takerNmependa mbinu yako ya kuwaachia mzigo ukikubali mfanye biashara big up mwamba.
[emoji16][emoji16] tujuzePole sana mkuu mi mwenyewe nimeingizwa town juzi tu mwezi august na mwanangu sana baada ya kumaliza chuo hata sikuamini ila namshukuru Mungu saiv nishajipata.
Ukianguka unaamka unakimbia.
japo umenichekesha sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
NiceNilikuwa Baba mwenye nyumba!;
nikamuuzia mpangaji nyumba na kuanza kuwa mpangaji kwenye ileile nyumba!
Hivi ninavyo andika nimepewa notice NIHAME!View attachment 2436863
Nimeji-update kama ndege Tai!Nice