Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
HapanaBeef Lasagna 94 upo form 4?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaBeef Lasagna 94 upo form 4?
Upo class gani kwa huo mwaka 94Hapana
Kwa Ku snake (nyooka) na barabara? Sabena, posta , kilombero, obey, soko mjinga (labda niamue kushuka na barabara ya sombetini), kanisani, makuti, kwa diwani, barabara ya mbauda , shule, kona, madukani, barabara ya kerai, ngusero time, kibao cha kanisa , mwisho wa haisi, darajani, fidifosi....aisee nisingefika na ukizingatia nilikuwa mdogo. Hata wewe usingeweza mkuu.Ungetoboa tu mbona siyoo mbalii!
Dah.... Kutoka ubungo hadi Buguruni ni umbali wa km 8.7 tu...wastani utatumia saa 1 na dk30 tu kwa kutembea...halafu unajisifia...huo ni umbali anaotembea binti mdogo kule kijijini kwenda shule Kila siku....nyie ndiyo mnatutia aibu vidume wa Dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka buguruni Mara kibao tu.ni nyakati tu zinatokea katika maisha.hapa yenyewe Sina hela mfukoni wakuu naona Bora hata nisimwombe mtu nitembee tu Niko mubashara barabarani napiga Hamza kanuni mdogo mdogo kutoka posta mpaka buguruni.tutadata tutanyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nazingua tu Mkuu,kusema kweli kuna umbali tu mrefu kutoboa siyo kazi rahisi!Kwa Ku snake (nyooka) na barabara? Sabena, posta , kilombero, obey, soko mjinga (labda niamue kushuka na barabara ya sombetini), kanisani, makuti, kwa diwani, barabara ya mbauda , shule, kona, madukani, barabara ya kerai, ngusero time, kibao cha kanisa , mwisho wa haisi, darajani, fidifosi....aisee nisingefika na ukizingatia nilikuwa mdogo. Hata wewe usingeweza mkuu.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nilikuwa nina wachumba karibu daladala zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua nazingua tu Mkuu,kusema kweli kuna umbali tu mrefu kutoboa siyo kazi rahisi!
Sema pale sabena,hiace za pande hizo nyingi sana,huwezi kosa mtu anayekufahamu!
Nilikuwa nina wachumba karibu daladala zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Usirudie tena...naona umaarufu ulikubebaInamaana wote mnaishi dar jamani?
Kweli mkoani nipo mwenyewe.
Niliwahi kula naauli sana kipindi nasoma tuition (2010) Jengo la Mollel. Ila sijawahi kutembea kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nasimama sabena nasubiri daladala za ninaowajua.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nilishaacha mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukute kazi yako ilikuwa ni kuleta mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].Nakumbuka mwaka 2002 bado niko primary nilitumia hadi pesa ya nauli baada ya kuzidiwa na kiu ya haja kwa uzembe wa kuendekeza kucheza mpira jua likiwa kali kabisa....
Aisee nilitembea siku ile kutoka Mjini na nilipofika maeneo ya kurasini kiu ilinibana tena ikabidi nigonge nyumba za watu kuomba msaada wa maji...
Nilitembea siku ile mpaka nikataka hadi kulia na nilijutia kwanini nilitumia nauli. Tangu siku hyo ikawa nikitoka shule sitaki story na mtu nakimbilia stand kupanda gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
2002 primary? Kuna wajukuu zangu humu jf, natakiwa kujiuzulu nijitoe jfNakumbuka mwaka 2002 bado niko primary nilitumia hadi pesa ya nauli baada ya kuzidiwa na kiu ya haja kwa uzembe wa kuendekeza kucheza mpira jua likiwa kali kabisa....
Aisee nilitembea siku ile kutoka Mjini na nilipofika maeneo ya kurasini kiu ilinibana tena ikabidi nigonge nyumba za watu kuomba msaada wa maji...
Nilitembea siku ile mpaka nikataka hadi kulia na nilijutia kwanini nilitumia nauli. Tangu siku hyo ikawa nikitoka shule sitaki story na mtu nakimbilia stand kupanda gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi Jf ilianzishwa kwa ajili ya watu wazima pekee2002 primary? Kuna wajukuu zangu humu jf, natakiwa kujiuzulu nijitoe jf
Hapana ni kwaajili ya yoyote above 18. Sie viajuza ndo tunatakiwa tuondoke
[emoji23] [emoji23] ulijuaje aisee na kipindi hicho nilikuwa na sifa kweli kila mpira ukienda mbali nafuata mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukute kazi yako ilikuwa ni kuleta mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila ungepanda daladala ukishuka unakimbia. Ndiyo hivyo wenzako tulifanya kipindi tukiwa primary.
Wakikudai sana anajitokeza msamaria mwema anakulipia[emoji23].
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hapana msiondoke bado tuna vitu vingi vya kujifunza kutoka kwenu.Hapana ni kwaajili ya yoyote above 18. Sie viajuza ndo tunatakiwa tuondoke