Tuliowahi kutembea kwa sababu ya kukosa nauli tukutane hapa

Ungetoboa tu mbona siyoo mbalii!
Kwa Ku snake (nyooka) na barabara? Sabena, posta , kilombero, obey, soko mjinga (labda niamue kushuka na barabara ya sombetini), kanisani, makuti, kwa diwani, barabara ya mbauda , shule, kona, madukani, barabara ya kerai, ngusero time, kibao cha kanisa , mwisho wa haisi, darajani, fidifosi....aisee nisingefika na ukizingatia nilikuwa mdogo. Hata wewe usingeweza mkuu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Wakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka buguruni Mara kibao tu.ni nyakati tu zinatokea katika maisha.hapa yenyewe Sina hela mfukoni wakuu naona Bora hata nisimwombe mtu nitembee tu Niko mubashara barabarani napiga Hamza kanuni mdogo mdogo kutoka posta mpaka buguruni.tutadata tutanyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.... Kutoka ubungo hadi Buguruni ni umbali wa km 8.7 tu...wastani utatumia saa 1 na dk30 tu kwa kutembea...halafu unajisifia...huo ni umbali anaotembea binti mdogo kule kijijini kwenda shule Kila siku....nyie ndiyo mnatutia aibu vidume wa Dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Ku snake (nyooka) na barabara? Sabena, posta , kilombero, obey, soko mjinga (labda niamue kushuka na barabara ya sombetini), kanisani, makuti, kwa diwani, barabara ya mbauda , shule, kona, madukani, barabara ya kerai, ngusero time, kibao cha kanisa , mwisho wa haisi, darajani, fidifosi....aisee nisingefika na ukizingatia nilikuwa mdogo. Hata wewe usingeweza mkuu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nilikua nazingua tu Mkuu,kusema kweli kuna umbali tu mrefu kutoboa siyo kazi rahisi!

Sema pale sabena,hiace za pande hizo nyingi sana,huwezi kosa mtu anayekufahamu!
 
Mimi sikula nauli, ila nakumbuka nikiwa form II nilitembea toka Kamanga Ferry hadi Sengerema Sekondari. Chanzo cha safari hiyo nisiyoisahau maishani ni kwamba nilivuka na Ferry ya mwisho na hivyo nikafika SAA 12.30 jioni na hakukuwa na usafiri kwa vile hatukuvuka na basi lolote. Kwa kuogopa "fimbo za Bwana Yule" mie na wenzangu tuliamua kutembea kwa miguu na mabegi kichwani, sitasahau uchovu ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua nazingua tu Mkuu,kusema kweli kuna umbali tu mrefu kutoboa siyo kazi rahisi!

Sema pale sabena,hiace za pande hizo nyingi sana,huwezi kosa mtu anayekufahamu!
Nilikuwa nina wachumba karibu daladala zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Hahahaha,utakua umepanda sana buree wewee!
Nilikuwa nina wachumba karibu daladala zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Niliwahi kutembea toka shuleni hadi hom nikiwa o level ,mwendo si kidogo,kuanzia saa kumi na mbili asubui hadi mida ya saa nane mchana ndo nikapata msaada wa msamaria mwema akanipa lifuti,bording school za kipindi kile si mchezo,ukiishiwa umeishiwa kweli.ila wengi walikuwa na option hiyo japo ilihitaji maandalizi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana wote mnaishi dar jamani?
Kweli mkoani nipo mwenyewe.
Niliwahi kula naauli sana kipindi nasoma tuition (2010) Jengo la Mollel. Ila sijawahi kutembea kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nasimama sabena nasubiri daladala za ninaowajua.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Usirudie tena...naona umaarufu ulikubeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kutoka Buguruni nikapitia Muhimbili nikaenda kupumzika msasani pale Beach then nikarudi Kinondoni.
 
Nakumbuka mwaka 2002 bado niko primary nilitumia hadi pesa ya nauli baada ya kuzidiwa na kiu ya haja kwa uzembe wa kuendekeza kucheza mpira jua likiwa kali kabisa....

Aisee nilitembea siku ile kutoka Mjini na nilipofika maeneo ya kurasini kiu ilinibana tena ikabidi nigonge nyumba za watu kuomba msaada wa maji...

Nilitembea siku ile mpaka nikataka hadi kulia na nilijutia kwanini nilitumia nauli. Tangu siku hyo ikawa nikitoka shule sitaki story na mtu nakimbilia stand kupanda gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usirudie tena...naona umaarufu ulikubeba

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaacha mkuu.
Hata sikuwa maarufu sema ni vile vijana wengi ambao nilisoma nao waliachana na shule baada ya kumaliza darasa la saba wengine waliacha secondary wakaingia kwenye ukondacta na udereva wa daladala sasa nilikuwa nikipanda hawanidai wenyewe nauli[emoji23][emoji23][emoji23]. Hata siku nikiwa nayo hawapokei[emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Nakumbuka mwaka 2002 bado niko primary nilitumia hadi pesa ya nauli baada ya kuzidiwa na kiu ya haja kwa uzembe wa kuendekeza kucheza mpira jua likiwa kali kabisa....

Aisee nilitembea siku ile kutoka Mjini na nilipofika maeneo ya kurasini kiu ilinibana tena ikabidi nigonge nyumba za watu kuomba msaada wa maji...

Nilitembea siku ile mpaka nikataka hadi kulia na nilijutia kwanini nilitumia nauli. Tangu siku hyo ikawa nikitoka shule sitaki story na mtu nakimbilia stand kupanda gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukute kazi yako ilikuwa ni kuleta mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila ungepanda daladala ukishuka unakimbia. Ndiyo hivyo wenzako tulifanya kipindi tukiwa primary.
Wakikudai sana anajitokeza msamaria mwema anakulipia[emoji23].

2002 primary? Kuna wajukuu zangu humu jf, natakiwa kujiuzulu nijitoe jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu ukute kazi yako ilikuwa ni kuleta mpira ukienda mbali[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila ungepanda daladala ukishuka unakimbia. Ndiyo hivyo wenzako tulifanya kipindi tukiwa primary.
Wakikudai sana anajitokeza msamaria mwema anakulipia[emoji23].

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23] [emoji23] ulijuaje aisee na kipindi hicho nilikuwa na sifa kweli kila mpira ukienda mbali nafuata mimi.

Aisee nilikuwa muoga makonda walikuwa wana roho mbaya sana nikaona isiwe kesi nitatembea ila dah ule umbali na lile jua bado kidogo ningezimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom