Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Matumizi bora sana ya akili. Mikopo bado inanipa shida. Juzi nimechukua mkopo 15M hata sijaona ziliopenda. Nimeishia kujenga msingi na vihela vingine nimeweka kwenye vibiashara mshenzi. Lakini sijakoma. Nitakopa tena.Mimi nilikopa milioni 8 ada na meals. Nikanunua kiwanja 3m. Nyingine matumizi kidogo na ada. Kile kiwanja nilichonunua miaka 12 nyuma leo thamani yake ni 50m.
HESLB nawalipa kila mwezi hela yao 30,000.
Asante sirikali.
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Mwamba ulizingua aisee. Ukamchoma bi mkubwa.mazaa alikua akichukua mikopo kwa wale SEDA.. asee mambo yakaenda kombo akawa anawatoroka maana anajua siku zao za doria..
Wakaja kwa kushtukiza kwetu ni badland kule gari unaacha road upite chocho kadhaa ndo ufike..
Braza alikua anajua ile gari ya alivyoiona chap mbiombio akaja kumshtua maza, chap akazama uvunguni..
Wakafika cha kwanza..mama yuko wapi ? Braza kwaambia amesafiri kuna msiba kijjini alikua anajibu kwa wasiwasi..
Mmoja wao akanichukua nlikua ndo niko Darasa la kwanza haoo hadi dukani...Mangi mpe mtoto mzuri biskuti ilikia zile za choclate 500/=nakumbuka..
Woii nikachoma maza yupo uvunguni kule.. πππ wakaenda kumchomoa, hela hamna wakasomba mazaga hapo sebleni
Ile kipigo nlipata walivyoondoka biskuti ilitokea puani...
Pole sana Mkuu.Mm nimekoppa 30mil nikajenga nakatwa laki 9 hali yangu naijua mwenyawe
Aiseee embu niache dah, kwamba ukapewa notice kwenye nyumba yako dahπ€£π€£Aisee hii mikopo iko mizuri na mibaya, nilishawahi kuchukua M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Rejesho 5.8mil kwa mwwzi unapata mda wa kuandika nyuzi jf. Mkopo huu lazima ni ws mil500 au zaidi. Lazima ww ni ceo wa kampuni kubwa.. mkopo wa 500 ml wanakopa watu wakubwa sana hata mbunge hana mkopo huo. Otherwise wewe ni mwongoMimi mkopo ulichonifanya sitokaa nikope milele mpk naingia kaburin
Nitaridhika na ninachopata
Bora sahiz nasave hela naiona aisee
Mkopo ulikuwa unifilisi kabisa
Ila afisa mkopo ni mbwa hawana huruma
Rejesho mil 5.8 kwa mwez halafu sikuwa mzoefu wa mikopo hata kunishaur nisogeze mbele mkopo ili marejesho yapungue wakashindwa wakaniacha nakufa na tai shingon mbwa wale sitowasahau kamwe
Sahihi kabisaMkopo huwa unachukuliwa kukuza biashara.
Unakopa ili ujenge wabongo bwanaMatumizi bora sana ya akili. Mikopo bado inanipa shida. Juzi nimechukua mkopo 15M hata sijaona ziliopenda. Nimeishia kujenga msingi na vihela vingine nimeweka kwenye vibiashara mshenzi. Lakini sijakoma. Nitakopa tena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee ulizinguaamazaa alikua akichukua mikopo kwa wale SEDA.. asee mambo yakaenda kombo akawa anawatoroka maana anajua siku zao za doria..
Wakaja kwa kushtukiza kwetu ni badland kule gari unaacha road upite chocho kadhaa ndo ufike..
Braza alikua anajua ile gari ya alivyoiona chap mbiombio akaja kumshtua maza, chap akazama uvunguni..
Wakafika cha kwanza..mama yuko wapi ? Braza kwaambia amesafiri kuna msiba kijjini alikua anajibu kwa wasiwasi..
Mmoja wao akanichukua nlikua ndo niko Darasa la kwanza haoo hadi dukani...Mangi mpe mtoto mzuri biskuti ilikia zile za choclate 500/=nakumbuka..
Woii nikachoma maza yupo uvunguni kule.. [emoji23][emoji23][emoji23] wakaenda kumchomoa, hela hamna wakasomba mazaga hapo sebleni
Ile kipigo nlipata walivyoondoka biskuti ilitokea puani...
Dah! Pole sana MkuuMuda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.π€£
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana
Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
Rejesho 5.8mil kwa mwwzi unapata mda wa kuandika nyuzi jf. Mkopo huu lazima ni ws mil500 au zaidi. Lazima ww ni ceo wa kampuni kubwa.. mkopo wa 500 ml wanakopa watu wakubwa sana hata mbunge hana mkopo huo. Otherwise wewe ni mwongo
Muda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.[emoji1787]
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana
Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kama wewe ni afsa mikopo.. angalia movie inaitwa drag me to hell..... Ukimaliza kuangalia tu utaacha kazi hapo hapoMuda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.[emoji1787]
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana
Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
Karibuni MABENA FINANCIAL SERVICES TUPO NCHI NZIMA KILA WILAYA MKOPO CHAP RIBA 20% dhamana Ni vitu vya ndani
Pole,,,, una microfinance au ni afisa mikopo ! Hii kazi Ni chungu Sana, unalogwa au kuchukiwa kisa maslahi ya taasisi !Muda huu naenda kukamata nyumba ya mtu na mnada juu, yule mama lazima aniroge yaani.analia anasema ninvumilie ana misiba mitatu, sijui nani kafa, lakini ashapewa notice muda mrefu sana na mnunuzi ninae tiyari na ninaambiwa ni mchawi.[emoji1787]
Mwingine lazima nimuondowe pale maana sio kwa kiburi kile hataki kutoka kwa hiari, mama yake ni mzee sana nilienda nikamuelezea kuhusu majanga ya mwanae, cha ajabu yule bibi ni mzeee sana ila ati alikuwa mganga juzi niliona kwenye ndoto wamenitumia nyota nyiiingi naziona kwenye kona ya chumba nikaanza kukemea. Moyo ulienda mbio nikasali sana
Hii mikopo hii kuuza lazima niuze.
Hapana nafanya kazi nyingine tofauti na hizo.Pole,,,, una microfinance au ni afisa mikopo ! Hii kazi Ni chungu Sana, unalogwa au kuchukiwa kisa maslahi ya taasisi !
Ahaaaaa naacha kazi hii nile wapi? Nitaiangalia asante[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kama wewe ni afsa mikopo.. angalia movie inaitwa drag me to hell..... Ukimaliza kuangalia tu utaacha kazi hapo hapo
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
ππππππUkishika nyumba Kibaha ya kuuza nishtue
Za mahakama ndo safi kesi tumakuwa tushazimaliza hakuna migogoro.Ukishika nyumba Kibaha ya kuuza nishtue