Tuliowahi kuumwa sikio/masikio tukutane hapa

Pole sana, mimi nilikuwa na dalili za kuumwa sikio kuna siku mzee kaniwasha kibao cha sikio nashukuru toka siku ile nilipona.
😀😀😀😀umenikumbusha kitambo hicho kuna movie ya kihindi ,Jamaa shingo yake ilikuwa upande alipigwa ngumi ikakaa sasa akajishangaa maana alokuwa kama robot
 
Mm majino mawili yanauma kesho naenda kutafuta dawa nimeelekezwa
Mpendwa pole sana ukute ni jino moja tu hapo mimi nilipo umwa jino nilijua yameharibika meno matatu maana maumivu yake ni moto nilipo fika kwa doctor namwambia meno matatu yote ngo'a alicheka sana kuja kuangalia moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha, uumii kung'oa meno matatu kwa mpigo, mm hayo mawili yote yamevunjika upande wa kushoto na kulia
 
Unavaa na kuvua nguo ..unacheza mpira usiku...nilipofika hapo kusoma ikabidi niweke kwanza simu pembeni...nimecheka km mazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Pole aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha, uumii kung'oa meno matatu kwa mpigo, mm hayo mawili yote yamevunjika upande wa kushoto na kulia
Naomba nisije kuumwa tena jino yale maumivu ni ya aina gani maana usiku mmoja nililia machozi yakakata hayatoki chumbani nazunguka peke yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha, uumii kung'oa meno matatu kwa mpigo, mm hayo mawili yote yamevunjika upande wa kushoto na kulia
😀😀😀Sio kwamba siumii, Nilichanganyikiwa na maumivu yaani nimefikaje hospital nilikuwa sijielewi saa kumi na moja asubuhi nipo getini nimewahi namba tayari.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kwamba siumii, Nilichanganyikiwa na maumivu yaani nimefikaje hospital nilikuwa sijielewi saa kumi na moja asubuhi nipo getini nimewahi namba tayari.
Niliumwa usiku mmoja nikameza diclopa likatulia kesho nikaenda kung'oa mambo ya kuumwa hadi roho itapetape akhuuuu
 
Mimi mwenyewe sikio liliniuma nikapewa dawa ya maji ile masikio na macho nkawwka nlipoona limeacha kuuma nkastop kutumia dawa.
But shida nahc ilitokana ma eyephone yalikuwa makubwa yakaniumiza
 
Sikumoja niliumwa sikio
Nmeamka tu likaanza
Limeniuma weeh
Ndugu zamgu walinikuta hospitali na night dress... nimefika tu hospital kila mtu kanipisha daktari kanishangaa mana niko nusu utupu nikachomwa sindano likatulia .
Ndugu zangu walifanya kunitafuta kuja kulipa bill[emoji1787]
 
Unavaa na kuvua nguo ..unacheza mpira usiku...nilipofika hapo kusoma ikabidi niweke kwanza simu pembeni...nimecheka km mazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Pole aisee
Asante mkuu sio mchezo
 
Mm mpka sa hiv skio la kushoto linauma tangia nikiwa mdgo had sasa nina miaka 30 nikijisahau nikaweka headphone tuu linaanza kuuma na mwisho kutoa usaha ukiisha niko fresh tu sema mpaka sasa aliskii vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…