Tuliowahi kuumwa sikio/masikio tukutane hapa

Tuliowahi kuumwa sikio/masikio tukutane hapa

Mm mpka sa hiv skio la kushoto linauma tangia nikiwa mdgo had sasa nina miaka 30 nikijisahau nikaweka headphone tuu linaanza kuuma na mwisho kutoa usaha ukiisha niko fresh tu sema mpaka sasa aliskii vizur
Acha mchezo mzee miaka 30??? linaweza likaziba kabisa
 
Duh pole boss , ndiyo namaanisha ndani,.

Me ni Sikio la nje(outer ear)Ninapata taabu sana ila ngoja nijaribu bangi mbichi maana hospitali nimeenda sana.
Inner ukimaanisha kwa ndani s ndio?? Ilikua ndani na nta ilikua inatoka kama ukoko wa ugali vile vile ulivyo
 
Mm mpka sa hiv skio la kushoto linauma tangia nikiwa mdgo had sasa nina miaka 30 nikijisahau nikaweka headphone tuu linaanza kuuma na mwisho kutoa usaha ukiisha niko fresh tu sema mpaka sasa aliskii vizur
Polea boss
 
jamani kuna uzi wa jamaa kule anaelezea alikuwa anaumwa jino. Nimeona na mimi nielezee jinsi sikio la kulia lilivyochakaza!

Yaani sikio,jino,macho sio vitu vya kuchezea kabisaaa..
Mimi nilikaaa week 2 navumilia tuu. inahitaji moyo bandugu!!

Usiku nilikuwa napanda dirishani, nakaa chini, navua Nguo, navaa tena, naoga hata mara kumi! ila ndo kwanza sikio linachochea! yaani mpaka nilikuwa naimba kwaya, singeli ila wapi!!
usiku nauona una masaa 70 sijui???
Ikabidi nijisalimishe general hospital mwenyewe!
Njiani Dereva bajaji anaendesha taratiibuuuu! nikaona huyu mshenzi ataniuwa! nikakamatia chuma mwenyewe!!
Kufika hospitali nakuta madingi mawili na mtoto mmoja yupo na mamake ..yule mtoto alikuwa analia ila sauti yake ilishakauka! yule dingi mmoja alikuwa kalala chini.. mwingine yupo stoo sijui alikuwa ndo anapooza maumivu!.
Nikapewa dawa niliambiwa kuna kidonda ndani! so kama kawa usiku dozi ikaendelea! Nikawa nachukua mpira nacheza nje usiku! ila wapi!
Mpaka nilipokuja kuwekewa bangi!(msokoto) /(chiga) kwenye sikio...
Huwezi amini hiyo siku iliofuata nilijiona niko uko akhera nikiwa na mabikra 70 na mto wa pombe
Mpaka leo haliumi tena. Kweli bangi ibarikiwe!
Kwenye bangi nakubaliana nawe. Bangi ni dawa nzuri sana ya sikio.
 
Mm mpka sa hiv skio la kushoto linauma tangia nikiwa mdgo had sasa nina miaka 30 nikijisahau nikaweka headphone tuu linaanza kuuma na mwisho kutoa usaha ukiisha niko fresh tu sema mpaka sasa aliskii vizur
Nenda Hospital mkuu,watakusaidia
 
Asante, utakua unafanya vile vipele kama vichunusi hua vinauma sana
Yap ndo ilikuwa hivyo mkuu now ni vidonda kabisa ambavyo kwa juu vimekauka ila kwa ndani vibichi, , vinawasha hatari, Navikuna hadi damu mkuu yaani ni taabu taabu , .

Nikivibandua kesho tena nakuta vimeota daah, .

Nisaidie tiba asilia kama unafahamu mkuu.
 
Kwa hapo sifaham labda umeze dawa za kuvikausha hospital walikuambiaje??
Na vinaumaga s mchezo

Nilikuwa na jino limetoboka.
Siku hiyo kukapikwa sato wa nazi na wali.
Kwa uroho wangu nikala yule samaki,mwiba ukanasa katikati ya jino lililotoboka.
Yale maumivu niliyoyapata mwaka ule, sijui kama niliyapata tena na ni zaidi ya miaka 15 imepita ila nakumbuka yale maumivu mpaka leo.
Nilitembea kwa mguu toka Manyanya mpaka bonde la Mkwajuni huku nimeshika shavu ndipo nikapanda tax maana niliona nachelewa kufika Muhimbili
 
Kwa hapo sifaham labda umeze dawa za kuvikausha hospital walikuambiaje??
Na vinaumaga s mchezo
Hospitali mara ya kwanza nilipewa dawa ya kuweka ndani na za kumeza, Hazikusaidia , mara ya pili ni mwendo wa sindano tuu sindano mpaka sasa hivi nikiona sindano mwili unasisimka, .
Nina wiki 3 sasa tangu waliponambia nikae waangalie hali yake, nisilichokonoe ila ndo linawasha hatari dah wiki inayoanza kesho natakiwa niende kufanyiwa checkup .

NAIMANI NTAPATA UFUMBUZI
 
Pole sana jaman hope utapata yiba stahik

Pale Ekenywa kwa masuala mazima ya masikio yako vizuri. Mimi walinisaidia wasikio yalikua na fangasi, ila kama huna Bima wana bei balaa
 
1.Niliwai kuingiliwa na siafu mmoja sikioni,aisee nilipata shida maana kila akitembea nahisi kama limnyama gani sijui mbaya zaidi ile miguu yake akitembea ni kama inavuta ngoma ya sikio hivi,bahati nzuri nayeye hakukaa sana naona alikua anatafuta njia atoke alipotokeza kichwa tu nilimdaka kwa hasira kumvuta nje.Nashukuru hakuuma ngoma ya sikio.

2.Sikio kupiga kelele ,yaani nikikaa sehemu tulivu nahisi kama kuna mashine inaunguruma kichwani hivi,hii imenisumbua sana nilishaweka bangi haikusaidia,nilikuja kupona baada ya kutumia dawa Fulani za asili za kutoa sumu mwilini,lakini inakera sana maana ili ukae kwa amani inabidi uwashe angalau redio tofauti na hapo ni kero hasa wakati wa kulala.
 
Kiungo chochote kile kikiuma mbona utatamani kuki-restore. Umewahi kuumwa ulimi au kucha?
Weee kuna maviungo mengine yamezidi...pumbu..jino..sikio.tumbo..kichwa..jicho..chembe ya moyo hahahahaa..but kweli bana kila kitu kinauma aseee
 
Kule nilitoa ushauri wa dawa ya jino ni kung'oa tu.na hapa dawa ya sikio ni kulikata tu,hakuna namna.😐😐😐
 
Back
Top Bottom