Tuliowahi kuvamiwa, kuibiwa au kutekwa na majambazi tujikumbushe

Nakumbuka katika ukuaji mitaa ya temeke ulikuwa 2002,tulienda bich flani mitaa ya kigamboni inaitwa mikadi tukaleta utemeke wetu tukapola jamaa flani walikuwa wawili na mademu zao,saura Kila kitu mida Kama ya saa mbili usiku,kumbe pamtoni haifanyi kazi kuazia midaa ya saa tatu na kuendelea,likaja wazo la kurudia hii ya kongowe kumbe Kuna jamaa mmoja kati ya wale wawili tulio wapola aliamua kutufuatilia akiwa na kampani ya wahuni wake kma 25 hivi,wakaja kutubananisha maeneo ya mjimwema wakiwa na mabomu yautambi sijui na majambia Kama yote,bahati ilikuwa kwetu ikawa difenda ya polisi inapita iko kwenye patrol midaa ya saa Tano usiku tukaona hapa msaada huo hapo,tukaaza kurusha mawe kwa polisi jamaa wakaruka kwenye gari kuaza kupiga risasi hewani wote tukamwagika bila hivyo sijui ingekuje kwa wale jamaa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Mzee mngekufa
 
wangewakanda kisawasawa
 
Back
Top Bottom