Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishirikiana na FEEL FREE CHURCHNa picha hili la kihindi limeletwa kwenu kwa udhamini mkubwa wa KALYINDA.
Kabsa maana wakti tumeawachukulia vitu akua kinyonge na walipasuka kweli,ila sasa ni utuuzima na majumu tupo na mkoa nimehama.Mzee mngekufa
[emoji1][emoji1][emoji1]wangewakanda kisawasawa
Wangekutatua marinda mkuu... Usirudie tena kuvua nguo mbele ya wanaume.Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Tumekaa shule za bweni za wanaume miaka, kila mtu anavua nguo, lakini wewe firauni unawaza marinda tu.Wangekutatua marinda mkuu... Usirudie tena kuvua nguo mbele ya wanaume.
Umetisha Mkuu[emoji1787]Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Wangekutatua marinda mkuu... Usirudie tena kuvua nguo mbele ya wanaume.
Kuvamiwa aiseeUmetisha Mkuu[emoji1787]
2013 mbona juzi tu we kweli dogo, acha kudanganya watu mwaka huo hakukuwa na mambo ya fatuma. Tafuta uwongo mwingine.Nakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu.
Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri sana.
Chumba changu kilikuwa pembezoni na mto Arusha eneo nililopewa na wazazi wangu pamezungukwa na miti na migomba mingi sana, kuna msitu mmoja mzuri sana kama ulaya vile.
Sasa kipindi hicho nilikuwa nimenunua bonge la speaker, daily nilikuwa nakula reggae na nyimbo za hiphop za chuga, nilikuwa na computer ya dell desktop, kipindi hicho ukiwa na computer mtaa mzima unakuheshimu.
Ilikuwa majira ya saa 9 usiku, nikiwa nimelala gheto, ghafla nikasikia mlango umepigwa jiwe fatuma kwa watu wanaojua jiwe fatuma ni nini watakuambia, walikuwa kama 7 hivi wameshika marungu na mapanga wengine wananimulika na torch machoni yani kama movie vile..
Jamaa wakaniambia toa ulichonacho, nikawaambia sina chochote zaidi ya hivi vitu vya gheto, hakuna!! toa pesa ulizonazo mara mabapa ya mgongo kwa sana, nikawaambia sina pesa, kuna jamaa akawaambia huyu mpaka akatwe ndo atoe pesa, daah jamaa akanikata na panga mgongoni, nikaona niwape hela zao waondoke.
Jamaa wakanipa kichapo cha maana, wakabeba computer, nguo, viatu vyote, speaker na pesa zote nilizosave wakaondoka zao.
Nilichojifunza, simuonei mwizi huruma nikishajua ameiba kweli, yani atakula vitofali mpaka ajute kwanini kaiba..
Hayo ni yangu yalionikuta enzi hizo je nyie kiliwakuta kipi, nakaribisha mchango wenu kwenye huu uzi.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD..
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..
,
Usichokijua hukijui tu,arusha mpaka sasa hivi fatuma bado zipo wanalibeba kwenye kanga kama mtoto mdogo mgongoni,alafu mimi ni dogo kwa umri ila kwa akili ya maisha ni zaidi ya babu2013 mbona juzi tu we kweli dogo, acha kudanganya watu mwaka huo hakukuwa na mambo ya fatuma. Tafuta uwongo mwingine.
Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
asante kwakunifurahisha usiku wa leo dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Yan mi skutaka kuwauliza wamelibebaje...ni za kichwa tu
Eeeeh pole sana man.....mim walitakaga kunivamia nipo maskani peke nyeke kina maza wamekwenda mkoa acha kabisa klichonisaidia lile geti dogo la mlangoni lilikua imara hapo ndani nishajikojolea nishalia nishaomba Mungu nampgia maza cm hata hapokeiNakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu.
Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri sana.
Chumba changu kilikuwa pembezoni na mto Arusha eneo nililopewa na wazazi wangu pamezungukwa na miti na migomba mingi sana, kuna msitu mmoja mzuri sana kama ulaya vile.
Sasa kipindi hicho nilikuwa nimenunua bonge la speaker, daily nilikuwa nakula reggae na nyimbo za hiphop za chuga, nilikuwa na computer ya dell desktop, kipindi hicho ukiwa na computer mtaa mzima unakuheshimu.
Ilikuwa majira ya saa 9 usiku, nikiwa nimelala gheto, ghafla nikasikia mlango umepigwa jiwe fatuma kwa watu wanaojua jiwe fatuma ni nini watakuambia, walikuwa kama 7 hivi wameshika marungu na mapanga wengine wananimulika na torch machoni yani kama movie vile..
Jamaa wakaniambia toa ulichonacho, nikawaambia sina chochote zaidi ya hivi vitu vya gheto, hakuna!! toa pesa ulizonazo mara mabapa ya mgongo kwa sana, nikawaambia sina pesa, kuna jamaa akawaambia huyu mpaka akatwe ndo atoe pesa, daah jamaa akanikata na panga mgongoni, nikaona niwape hela zao waondoke.
Jamaa wakanipa kichapo cha maana, wakabeba computer, nguo, viatu vyote, speaker na pesa zote nilizosave wakaondoka zao.
Nilichojifunza, simuonei mwizi huruma nikishajua ameiba kweli, yani atakula vitofali mpaka ajute kwanini kaiba..
Hayo ni yangu yalionikuta enzi hizo je nyie kiliwakuta kipi, nakaribisha mchango wenu kwenye huu uzi.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD..
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..
,
Haha kwamba ndani ya dakika 5 wamekuja waarabu 10 [emoji23][emoji23][emoji23] pole kwa huyo mwizi aiseeeL
Eeeeh pole sana man.....mim walitakaga kunivamia nipo maskani peke nyeke kina maza wamekwenda mkoa acha kabisa klichonisaidia lile geti dogo la mlangoni lilikua imara hapo ndani nishajikojolea nishalia nishaomba Mungu nampgia maza cm hata hapokei
Kuna jirani yetu mmja alikua ni tajiri mtaa mzima alisikia kelele basi bn alipiga risasi mbili sijui ni baruti zile uwanjani kwake wahuni wote wakatoka mkuku
Baada ya muda ndio majirani wanasogea hapo nishalia kama zombie wakaja majirani wengine kurekebisha rekebisha getini wakabaki wawili mmja wa kike mwingine brother hivi akalala na panga hapo ndani
Ya pili ilitokea nikiwa na sister angu yani milango ya home kwetu nahisi ni ya mkoloni miguu balaa
Tumelala usiku sa tisa mara tunasikia mlango wa sebuleni na mlango wa jikoni unagongwa kwa nguvu na kutikiswa sister angu akaniamsha vaa suruali nkavaa a buti chini yani wakiingia ndani nashawaza kabisa hapo ntakimbia kama chizi hadi nyumbani kwa Diwani basi sister angu alikua na Bwana ake mwarabu mmja mgumu kinoma kwanza anaendesha Subaru yule msela akatoka ndani na wenzie kama kumi na usher nilijiuliza sana hawa waarabu hapo ndani wanalala vip maan sio kwa idadi hyo.........Mwizi mmja alikamatwa walichomfanya wakaenda mchomea moto katikati ya barabara polisi tunawapgia simu wanasema ety mmalizieni kabisa walikuja kubeba nyama choma
Yani waarabu sijui walikua ni wale waarabu watumia mirungi acha kabisa..... Asante sanaHaha kwamba ndani ya dakika 5 wamekuja waarabu 10 [emoji23][emoji23][emoji23] pole kwa huyo mwizi aiseee
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Ni hatari poleni sanaWayback 2010 wezi walivamia Duka letu hapo mtaani na walikuwa na mguu wa Kuku walivyoingia wote tukalala chini , kulikuwa na Bakabaka mmoja anakunywa Pale dukani na pia kulikuwa na mwamba mmoja ambaye alikuwa ni Poti ila fununu zilikua pia kwamba jamaa alikuwa kwenye idara ya vipenyo picha linaanza yule Bakabaka aligoma kulala chini akaanza bishana nao yule mwamba kipenyo akaingia nyuma Ya mlango wa duka na kule kulikuwa na macrate ya Bia zilizo na maji basi mwamba akaanzisha mashambulizi akaanza Kurusha bia kwa wale wahuni nao wakarusha risasi ila ule mlango ulikuwa wa Mninga basi ukamuokoa yule kipenyo yule soja naye kuona kipenyo kaanza mashambulizi akataka kuwapokonya risasi wale wezi bahati mbaya wakampiga risasi ya Mkono walipoona kipenyo kazidisha mashambulizi wakaona tutakamaatwa basi wakaondoka bila Kuchukua chochote pale dukani , yule kipenyo alirusha Chupa kama 15 zenye bia lakini bila zile chupa huenda Tungeumizwa au kuuwawa kabisa.