Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

Ha ha ha.....Kama nakuona vile[emoji28]
 
mkuu bangi inavyozungumziwa ni tofauti na ilivyo! Shahidi mimi mwenyewe, nimevuta zaidi ya mara moja wala sijawahi kukimbilia chooni!
Utakua na KICHWA kizur Labda,
Hizi mambo huend mmetofautiana uhimilivu[emoji4]
 
Wewe hujavuta bangi. Hiyo kitu ni mbaya wala hakuna maswali. Mimi sijavuta ila mdogo wangu alipoanza kuivuta hajawahi kuwa sawa tena. Tukiwa sekondari kuna dogo mmoja aliianzia form III mwishoni ila hadi anamaliza IFM alikuwa tayari kituko sasa hivi yuko Matejoo anashindia pombe za kienyeji wakati tukiwa shule alikuwa ni mmiliki halali wa namba moja. A-level alienda Mzumbe. Nina shuhuda nyingi za ndugu na marafiki walioharibikiwa maisha kwasababu ya bangi wakati mwanzoni walikuwa watoto wema sana.
 
wana sababu nyingne za kiafya wala sio bangi moja kwa moja!
 
Dah! Inaumiza Sana,
Basi ndo Mana serikali inaipiga marufuku
 
Wavutaji wengi wa huo mmea huwa lazma wanatumia na ugoro.

Mchakato una addiction moja kali sana, lazma uboost Ili mambo yaende lasihivyo hamna jambo litakaloenda
 
wana sababu nyingne za kiafya wala sio bangi moja kwa moja!
Jomba ingekuwa unavyosema kusingekuwa na haja ya bangi kupigwa marufuku. Unavyopotosha unatia hasira mno kwasababu mimi na familia yangu tumehangaika sana na mdogo wangu kumwondoa kwenye uraibu wa bangi. Kuna dogo mwingine jirani alikuwa vizuri tu ila sasa hivi anapanda Mlima Kilinanjaro kama pota kisa bangi. Yaani madogo vyeti vina A kama zote ila hawaaminiki kwsababu ya hizo bangi. Moderator FUTENI HUU UZI ULIOJAA UPOTOSHAJI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…