Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

anayesema akivuta ganja anaona mawenge anakuwa anadanganya

raha ya ganja ni kusizi na kutafakari mambo kwa kina hakuna mawenge hizo ni stori tu
 
anayesema akivuta ganja anaona mawenge anakuwa anadanganya

raha ya ganja ni kusizi na kutafakari mambo kwa kina hakuna mawenge hizo ni stori tu
stori za kujitungia! Tena zinaaminiwa na wengi sana!

Eti alivuta akavua nguo hapo hapo na kuanza kukimbia!![emoji848]
hiiiiiii!
 
reduce anger otherwise yo will die early[emoji815]

Farasi wewe
I better be that big horse cause mimi ni jembe manne! And grants that umenipata hapo! 🀣🀣🀣

I make a huge of amount each second...🀣🀣

Sitaki chawa maskini karibu yangu mkuu mamaako🀣🀣🀣
 
mwandiko wa dume kabisa huu, lakini juzi tuliombwa ushauri amsahau ex wake akidai yeye ni wa kike.... anyway acha kupotosha jamii bila sababu za msingi,, watoto wa watu wakiharibikiwa wewe utapata faida ganiπŸ™„πŸ˜Ž
 
mkuu bangi inavyozungumziwa ni tofauti na ilivyo! Shahidi mimi mwenyewe, nimevuta zaidi ya mara moja wala sijawahi kukimbilia chooni!
Nakubaliana nawe lakin kuna kitu kimoja ambacho watu hawajui, bangi sio kwa kila mtu ova!
 
mzee mimi mtu mzima naelewa nachozungumza! Ulishawahi kuvuta?
Skia bangi unaeza vuta ata gunia usipate stim lakin bangi inaitaji utulize akili na usiwe na mapepe labda ya kuona utaonwa ukivuta bangi inaitaji utulivu KAMA UNAONA UPATi STIM KABSA KULA SKANKI MZEE GRAM ELFU 2 AD EF3 ACHANA NA BANG ZA MIAMBILI KULA SKANKI NDO WASANII WAMBELE WANAKULA LAKIN SKANKI NIURAIBU ZAID KAMA UNGWA MADAWA INAAROSTO KALI NA UNASIZI KAMA HEROIN
 
hivi unapovuta mbegu ikibasti ile paaaa!! inakuaje
Moto unalipuka kama umewasha kiberiti vile alafu baada ya hapo inazima. Na mvutaji unashituka na kutoa mdomoni usiungue.
 
mwandiko wa dume kabisa huu, lakini juzi tuliombwa ushauri amsahau ex wake akidai yeye ni wa kike.... anyway acha kupotosha jamii bila sababu za msingi,, watoto wa watu wakiharibikiwa wewe utapata faida gani
ni wapi nimesema watoto wavute bang?
 
Hukuvuta bangi wewe ulipewa kushabu hizo.
msiamini amini vitu kwa nadharia. Bangi inapewa sifa ambazo haina! Mtu akisikia "bangi" macho yanamtoka kumbe ni kitu normal tu
 
APA UMEANDIKA KWELI HAWA JAMAA WANATAFUTA LIKES LAKINI BANGI HAWAJAWAHI KUVUTA
hivi unapoleta ubishi kwa vitu usivyo na uhakika navyo unamaanisha nini? Kwamba wewe ndo unajua sana kuliko wengine?
 
DAH BORA HATA UMETOKEA UWAPE DARASA KIDOGO WAACHE STORY ZA VIJIWENI
hujasoma maoni hapo nyuma watu wakitoa ushuhuda (wa uongo) kwamba watu wao walikuwa nusu vichaa baada ya kuvuta bangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…