Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
- Thread starter
- #161
fact!Mkuu kunakuwaga na sababu za kiroho ndio sababisho lakini sio bangi kama bangi .uwenda alichezewa kwanza kabla maana asipoxhezewa mtu huwa haanzi tu moja kwa moja mpaka awe ivyo ila kunakuwaga na yasiri yaliyosababisha hasa wale ambao unakuta walikuwa vizuri sana kielimu.
Ila sasa sababu anavuta bangi ndio inaonekana kama ndio sababu