Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
Hao sasa ndo wengi.
 
Kipindi nikiwa mgeni nilijuutaa,yaan fulk kutishiwa mara usalama wa taifa mara sijui email yangu inaonekana hivyo ntakamatwa nikasema hee kwan kuingia JF dhambi

Wastaarabu wakanielewesha ni mbinu za kuogopesha watu humu hasa wakoromije kama mie haha

Ukiwa na waelewa PM hakuna stress wala ugomvi full burudani
hiyo adha ya mikwara mm pia ilinipata hadi ikabidi na email yangu nikaiweke full private na maCode ya kutosha..
 
Back
Top Bottom