Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kuna kaka huyo mstaarabu sana kuna wimbo nliuhitaji akanambia nimpe namba ya wasap antumie na hataitumia hiyo namba tofaut na lengo husika...nashukuru hakunisumbua na alifanya alichokisema...kuomba no ya simu kawaida[emoji20] lkn japo inategemea ni kwa mlengo ganii!
Unaniangusha best ujue. Hahaahaaa.Teh teh[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asante, alafu mbona PM yangu haujaijibu..[emoji39] [emoji39]Hahahahaa welcome
Nijibu sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja kaja juzi bila hata salamu eti demi nakutaka. Kha! Nikaishia kucheka tu
kisandu trending [emoji16] [emoji16]Bora ww[emoji3]mi kuna uyo mmoja sijui alkurupukia wapi,anakuja bila hata salamu eti kutom......ni raha[emoji3]
Nikajiuliza ni kisandu uyu au nani?
We mama akili unapeleka wapi yani we ni michambo daily!!
Wengi kutakana ila wengine wanakuja kirafiki kabisa na mwingine hata kukutaka anakutaka kistaarabu mnakataana kistaarabu mnaendelea kuchat kistaarabu bado. Wengine jamani. Daaah. Mtu anakwambia anataka kufanya nini sijui tena bila hata salamu.hahaha inaonekana wengi PM wanaitumia kutakana tu na ndio tatizo hilo.
[emoji3][emoji3][emoji3]nakuchukuliaga kama comedian sana,usikuje pm utanvunja mbavuNa wewe nilikuwa na kampango kakuja naona na wewe ndio hivyo tena njoo pm nikufundishe [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Anakupima imani.Shogaaa hatareee saana me sijibu watu hovyo kule hawachelewa ku-double ID naona kuchorana tuu,.eti MTU kajiunga ana masaa mawili tuu huyo pm kwako looh si utoto huo....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]Nishakaribia swahiba
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] kuna watu mshipa wa aibu na ufahamu umekatika aisee duuh!Bora ww[emoji3]mi kuna uyo mmoja sijui alkurupukia wapi,anakuja bila hata salamu eti kutom......ni raha[emoji3]
Nikajiuliza ni kisandu uyu au nani?
Ha ha ha kamwambie huu ujumbe huko huko ulipompa nambaKuna kaka huyo mstaarabu sana kuna wimbo nliuhitaji akanambia nimpe namba ya wasap antumie na hataitumia hiyo namba tofaut na lengo husika...nashukuru hakunisumbua na alifanya alichokisema...
we kaka popote ulipo agiza soda nakuja kulipa
Soda nimeagiza Ila ile number sijaifuta ipo storeKuna kaka huyo mstaarabu sana kuna wimbo nliuhitaji akanambia nimpe namba ya wasap antumie na hataitumia hiyo namba tofaut na lengo husika...nashukuru hakunisumbua na alifanya alichokisema...
we kaka popote ulipo agiza soda nakuja kulipa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hao una wa mute tyuu,Hahaaa. Anakupima imani.
Wa hivyo ni wakuwanyamazia tu mwaya.
[emoji3][emoji3][emoji3]kwa kweli nataka tu kuifungaNdio wale wale!uifunge ili iweje sasa![emoji3]
Hahaaaaaa.Ooohoo!huyo kwenye comment zake tu ni mtata,huko pm si ndio itakua balaa!watu mna moyo!
Pm yako inabidi unipe pasiwedi..maana sikuelewi kabisaEwaaaa....
Afadhali umekuja, hivi PM yangu umeiona....[emoji13] [emoji13]
Ndio mkuu.kwenye upendo sasa hapoooooo