Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kuna kaka huyo mstaarabu sana kuna wimbo nliuhitaji akanambia nimpe namba ya wasap antumie na hataitumia hiyo namba tofaut na lengo husika...nashukuru hakunisumbua na alifanya alichokisema...kuomba no ya simu kawaida[emoji20] lkn japo inategemea ni kwa mlengo ganii!
we kaka popote ulipo agiza soda nakuja kulipa