Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Sijawahi kuwa na haja ya kwenda PM kwa mazungumzo binafsi. Pia sipendi mtu anitafute PM kwa jambo linalozungumzika kwenye majukwaa.
Kama ninalo lisilozungumzika jukwaani naweza kuja? [emoji13] [emoji13]
 
Nakumbuka ulizidi nawe young na masalaam yako kila mda na maswali
Hahaha Shunie jamani, ndiyo maana siku hizi sipiti huko kusalimia, baada ya kuona umenichana live kwenye uzi flani.
 
Yale matusi yalijitype sikukusudia Jolie Jolie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…