Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kama ninalo lisilozungumzika jukwaani naweza kuja? [emoji13] [emoji13]Sijawahi kuwa na haja ya kwenda PM kwa mazungumzo binafsi. Pia sipendi mtu anitafute PM kwa jambo linalozungumzika kwenye majukwaa.