Ni kweli kwa mimi hao wanasema wanafwatwa ni kutongozwa si vinginevyo.Nawafata wengi tu..tatizo lenu mnajua PM ni mambo ya kubanjuana tu. Wakati mwingine tunahitaji marafiki, tena urafiki unabaki kuwa wa jf pekee na si zaidi ya hapo.
Nisalimie bila kukosaYupo uraiani
Pole sana.
Mimi Pm siku hizi nipo nayo makini sana sababu ya double ID mtu unachat nae kwa ID hii halaf anakuja na ID yake ya pili kukuchora....[emoji35] [emoji35]
aiseee
Zimefika asanteNisalimie bila kukosa
Kila ID inaswaga zake so anajaribu ipi utaipenda naamini hilo ndo lengo la mabazazi ha ha haaI hate this tabia jamani ya kuja na ID mbilimbili utasema wanafanya research. ... ndo maana kila mmoja nampaga jibu lake wanakoma na roho zao.
[emoji8]Zimefika asante
Nikiona post za kasie nakua na hali mbaya.
kumbe kufanya matusi ni ujanja!!!!!!!Ndio maana nikasema tulimalizana kijanja. Ila hatukurudia tena.
Urafiki wa kweli hauna mipaka mkuu,inakuaje urafiki uishie hapa hapa jf!Nawafata wengi tu..tatizo lenu mnajua PM ni mambo ya kubanjuana tu. Wakati mwingine tunahitaji marafiki, tena urafiki unabaki kuwa wa jf pekee na si zaidi ya hapo.
[emoji8][emoji8]
HahahahahaaHehehehehehehee...... poleeee Saint Ivuga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie sijui hata kuitilumia hiyo makitu. Hivi mbatumiana kindugu? Napambana na hali yangu
Bora umekuwa mkweli!Ndio, msema ukweli mpenzi wa mungu
Duuuu! hadi ubor umedinda mamaaaaeeee! Una kiasali we toto la kinyamwezi eeenh!!Hivi unajua unaanza kuniambuikiza hiyo hali..... Kila nikiona notification yako mapigo ya moyo yanaongezeka. ...... unanivuta ujue..... halafu najiona kabisaaa navutika. ......
Nimefurahi sana yaani unenikubali Bila kujuendea kwa mganga!!!Lile tongozo siwezi kukukataa. [emoji3][emoji3]