Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Nawafata wengi tu..tatizo lenu mnajua PM ni mambo ya kubanjuana tu. Wakati mwingine tunahitaji marafiki, tena urafiki unabaki kuwa wa jf pekee na si zaidi ya hapo.
Ni kweli kwa mimi hao wanasema wanafwatwa ni kutongozwa si vinginevyo.

Kwa aina hiyo usemayo inawahusu wengi si pekeako huwezi acha kumfata mtu ukiwa na dharula
 
Hadi leo nashughulika na PM za watoto baada ya kutumikia kibuti kitukufu hahah🙁🙁🙁
 
I hate this tabia jamani ya kuja na ID mbilimbili utasema wanafanya research. ... ndo maana kila mmoja nampaga jibu lake wanakoma na roho zao.
Kila ID inaswaga zake so anajaribu ipi utaipenda naamini hilo ndo lengo la mabazazi ha ha haa
 
Nawafata wengi tu..tatizo lenu mnajua PM ni mambo ya kubanjuana tu. Wakati mwingine tunahitaji marafiki, tena urafiki unabaki kuwa wa jf pekee na si zaidi ya hapo.
Urafiki wa kweli hauna mipaka mkuu,inakuaje urafiki uishie hapa hapa jf!
 
Hivi unajua unaanza kuniambuikiza hiyo hali..... Kila nikiona notification yako mapigo ya moyo yanaongezeka. ...... unanivuta ujue..... halafu najiona kabisaaa navutika. ......
Duuuu! hadi ubor umedinda mamaaaaeeee! Una kiasali we toto la kinyamwezi eeenh!!
 
Back
Top Bottom