Sawa sawa japo sitembeleagi huko mahalaNa nyie mnakua kama hamtujui dada zenu. Sisi wenyewe kuna muda hatujielewi. Kuna mtu ukimfuata umwambie kama nakutaka tukalane kama anakuelewa wala hamind. Mwingine ukimwambia hivyo unakula na block. We utakachokutana nacho huko pm kipokee tu
Ila wewe huna vitabia vya kitoto nakupongeza.Heeee kumbe mko serious nilijua mnatania? Ngoja nijifunze kwa huu ushauri wako.
Babe .Wahenga kama wewe mpo wachache sana
Ukitembelea zingatia hiyoSawa sawa japo sitembeleagi huko mahala
Watu serious hao ndio ukiwapa mzigo lazima ukimbie nayo mkononi.Ila wewe huna vitabia vya kitoto nakupongeza.
Bby niko Morocco nakaribia hapoBabe .
Nakuangalia tu unavyoni skip. Embu nichek pm
Kundi lipi? Embu huko.Watu serious hao ndio ukiwapa mzigo lazima ukimbie nayo mkononi.
Na mimi naangukia kundi hilo
Ntakua makiniUkitembelea zingatia hiyo
Mkuu umeniacha koromije, huo msamiati nitafunie banaHiki ndo kinaitwa kismati bila shaka
Hahahaa. Kwanza inatakiwa kabla hujaomba picha utume yako kwanza ndo uombe yangu. Ukimaliza kutuma picha unataja na umri wako kuzuia kuchat na watoto.Unajua tatizo la wanaume wengi wanachoharibu pm ile kutaka kukujua mapema kutaka kuomba umtumie picha au kuomba no ya simu upapara wenu huo ndio mnahoaribu
Mzoee mtu kwanza muwe marafiki tu wala usiwe na papara ya kutaka no ya simu au picha mpaka mzoeane kabisa
Sasa we kuingia pm tu unaanza masalaam shunie naomba nitumie pic nikuone khaaa pic yangu ya ninii ndio mana tunawatumua pic za kudownload muangaike nazo
Sasa mwanzo umesema kazi yetu kusalimia tuuu hapa unasema tuzoeane kwanza.nnavyo mazoea yanaletwa na salam za mara kwa mara.Unajua tatizo la wanaume wengi wanachoharibu pm ile kutaka kukujua mapema kutaka kuomba umtumie picha au kuomba no ya simu upapara wenu huo ndio mnahoaribu
Mzoee mtu kwanza muwe marafiki tu wala usiwe na papara ya kutaka no ya simu au picha mpaka mzoeane kabisa
Sasa we kuingia pm tu unaanza masalaam shunie naomba nitumie pic nikuone khaaa pic yangu ya ninii ndio mana tunawatumua pic za kudownload muangaike nazo
Halaf kingine maswali maswali yenu mengiii mnakera mnooo
Anaweza akakutumia pic wala si ya kwake hilo la kutaja umri la muhimu sana vitoto vimejaa sana humuHahahaa. Kwanza inatakiwa kabla hujaomba picha utume yako kwanza ndo uombe yangu. Ukimaliza kutuma picha unataja na umri wako kuzuia kuchat na watoto.
Atakua mshamba na hajiamini. Mwanaume unatuma picha ya kuokota mdada nae afanyaje.Anaweza akakutumia pic wala si ya kwake hilo la kutaja umri la muhimu sana vitoto vimejaa sana humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua tatizo la wanaume wengi wanachoharibu pm ile kutaka kukujua mapema kutaka kuomba umtumie picha au kuomba no ya simu upapara wenu huo ndio mnahoaribu
Mzoee mtu kwanza muwe marafiki tu wala usiwe na papara ya kutaka no ya simu au picha mpaka mzoeane kabisa
Sasa we kuingia pm tu unaanza masalaam shunie naomba nitumie pic nikuone khaaa pic yangu ya ninii ndio mana tunawatumua pic za kudownload muangaike nazo
Halaf kingine maswali maswali yenu mengiii mnakera mnooo
Kis mati ni bahati ya kufuatwa na waremboMkuu umeniacha koromije, huo msamiati nitafunie bana
Manga pm wanakuja watu wa kila aina kuna watu wa masalaam kwa siku utasalimiwa hata mara 10 yaan akiingia akitoka ni salaam tu na kuna watu wa kuomba pic tu anataka akujue ulivyo pm kuna kila aina ya vitukoSasa mwanzo umesema kazi yetu kusalimia tuuu hapa unasema tuzoeane kwanza.nnavyo mazoea yanaletwa na salam za mara kwa mara.
Hem nifundishe nielewe vizuri
Mambo ya jf kila mtu anamvizia mwenzieAtakua mshamba na hajiamini. Mwanaume unatuma picha ya kuokota mdada nae afanyaje.
Kweli Mwifwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120]Kis mati ni bahati ya kufuatwa na warembo