Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Sawa sawa japo sitembeleagi huko mahalaNa nyie mnakua kama hamtujui dada zenu. Sisi wenyewe kuna muda hatujielewi. Kuna mtu ukimfuata umwambie kama nakutaka tukalane kama anakuelewa wala hamind. Mwingine ukimwambia hivyo unakula na block. We utakachokutana nacho huko pm kipokee tu