Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Hehee ukinipa cha mbavu nakuja kuanzisha uzi wa kulia hapa sasa kumbe unadhani mimi najipoozaje machungu[emoji23]
Nimeona kuwa PM moja mnaweza kuwa hadi watano. That begs a question, Hivi huwa hamna vikundi vidogo vidogo vya umbeya na kutunanga huko PM?
 
Hahaaaaa. Pole sana best.

Mie nimepanga nikitulia ndio nisome post moja moja sababu tangia asubuhi mpaka muda huu naingia yaani page nilizozosoma ni chache kuliko ambazo sijazisoma.
Basi labda usilale kabisa leo best, manake unavokimbia....khaaa!!

Mie naondoka narudi nachungulia naondoka tena, hivooo!! Na bado sijamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…