Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Hehee ukinipa cha mbavu nakuja kuanzisha uzi wa kulia hapa sasa kumbe unadhani mimi najipoozaje machungu[emoji23]
Nimeona kuwa PM moja mnaweza kuwa hadi watano. That begs a question, Hivi huwa hamna vikundi vidogo vidogo vya umbeya na kutunanga huko PM?
 
PM watano? Mbona sijawahi kuona hiyo...[emoji23] [emoji23] nikija kwako unifukuze nitakutafutia genge tukuchaambe hadi ubadili id
Nitume nisitume? Mimi sichambiki maana sifanyagi upuuzi.

5e390f35c448f99d168c15efb2af828f.jpg


43cd2ffc7842b06522a11964a8031a87.jpg


...you may invite up to 5 members....
 
Hahaaaaa. Pole sana best.

Mie nimepanga nikitulia ndio nisome post moja moja sababu tangia asubuhi mpaka muda huu naingia yaani page nilizozosoma ni chache kuliko ambazo sijazisoma.
Basi labda usilale kabisa leo best, manake unavokimbia....khaaa!!

Mie naondoka narudi nachungulia naondoka tena, hivooo!! Na bado sijamaliza
 
Back
Top Bottom