Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hata pm ni mwendo wa Codes tuuJamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata pm ni mwendo wa Codes tuuJamani
Anafaa kuwa baba ako au unataka babako abaki Nyani Ngabu tu?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kalale
Sawa tuuHata pm ni mwendo wa Codes tuu
Nimeona kuwa PM moja mnaweza kuwa hadi watano. That begs a question, Hivi huwa hamna vikundi vidogo vidogo vya umbeya na kutunanga huko PM?Hehee ukinipa cha mbavu nakuja kuanzisha uzi wa kulia hapa sasa kumbe unadhani mimi najipoozaje machungu[emoji23]
Tumsifu Yesu kristuKwakweli hata wasap.
Yule niliyemuweka aliniambia mwenyewe niweke..
PM watano? Mbona sijawahi kuona hiyo...[emoji23] [emoji23] nikija kwako unifukuze nitakutafutia genge tukuchaambe hadi ubadili idNimeona kuwa PM moja mnaweza kuwa hadi watano. That begs a question, Hivi huwa hamna vikundi vidogo vidogo vya umbeya na kutunanga huko PM?
Nitume nisitume? Mimi sichambiki maana sifanyagi upuuzi.PM watano? Mbona sijawahi kuona hiyo...[emoji23] [emoji23] nikija kwako unifukuze nitakutafutia genge tukuchaambe hadi ubadili id
Utachambika tu mtoto wa kike amekuja pm unaanzaje kumshshua?[emoji23] [emoji23] kama sio matatizo ni niniNitume nisitume? Mimi sichambiki maana sifanyagi upuuzi.
![]()
Bora nichambwe kwa hilo leo kuliko kuchambwa kwa mengineyo mazito zaidi baadaye.Utachambika tu mtoto wa kike amekuja pm unaanzaje kumshshua?[emoji23] [emoji23] kama sio matatizo ni nini
Mwanao huyo babe.Phenomenal Woman....heheheee
[emoji23] [emoji23] hilo we unaona dogo...utachambwa na mengine hata ya kupachikwaBora nichambwe kwa hilo leo kuliko kuchambwa kwa mengineyo mazito zaidi baadaye.
Nipo mke mwenza nitakusaidia kumchamba.PM watano? Mbona sijawahi kuona hiyo...[emoji23] [emoji23] nikija kwako unifukuze nitakutafutia genge tukuchaambe hadi ubadili id
Mmh yamekuwa hayo tena mkuu?!Nyie mnaojifanya mnashangaa ndio mabingwa huko kajificheni!
Muogope maulana...[emoji23] [emoji23] hilo we unaona dogo...utachambwa na mengine hata ya kupachikwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona kuwa PM moja mnaweza kuwa hadi watano. That begs a question, Hivi huwa hamna vikundi vidogo vidogo vya umbeya na kutunanga huko PM?
Uzuri wake wenza sisi tunapendana [emoji23]Nipo mke mwenza nitakusaidia kumchamba.
Basi labda usilale kabisa leo best, manake unavokimbia....khaaa!!Hahaaaaa. Pole sana best.
Mie nimepanga nikitulia ndio nisome post moja moja sababu tangia asubuhi mpaka muda huu naingia yaani page nilizozosoma ni chache kuliko ambazo sijazisoma.
Sie kushare sio shida kwetu mwenza.Uzuri wake wenza sisi tunapendana [emoji23]