Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Na nyie mnakua kama hamtujui dada zenu. Sisi wenyewe kuna muda hatujielewi. Kuna mtu ukimfuata umwambie kama nakutaka tukalane kama anakuelewa wala hamind. Mwingine ukimwambia hivyo unakula na block. We utakachokutana nacho huko pm kipokee tu
nmekipokea 🙁🙁🙁
 
Kuna siku nilitaka kuomba msaada wa kuunblock pm ya mtu alie block pm yake. Nilichanganyikiwa ni kiface cha mzigua lkn kablock pm yake
 
Kuna qumer mmoja that time facebook.....akaniuliza unafanya nini nikamwambia nipo chuo...( kwa kuwa hakujua kuna ambao wanasoma na wapo inservice ) akaniambia si date na wanafunzi nikamwambia poa, alikuwa ameshanitumia namba zake nikamtumia laki 5 tigo pesa, then nikairudisha. Baadae ananitafuta nikamwambia mimi ndio yule mwanafunzi. Alinisumbua karibia mwaka mzima.
 
JJE'S huyu ndie anaujua muziki wangu,ananiudhi kwa kuniambia eti oh mara nina mchumba mara oh mimi sitaki, nikimuuliza sababu wakati mwingine hasemi, lakini jamani mimi ndo nimependa.Najua siku moja utakubali JJE'S alafu utanionjesha asali.Wambie wote wanaokwambia uongo kwamba mimi nipo na nawafuatilia kwa umakini kabisa.
 
PM ndo wapi jamani?natamani niingie huko nikasumbue warembo![emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…