dillema
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 398
- 276
nmekipokea 🙁🙁🙁Na nyie mnakua kama hamtujui dada zenu. Sisi wenyewe kuna muda hatujielewi. Kuna mtu ukimfuata umwambie kama nakutaka tukalane kama anakuelewa wala hamind. Mwingine ukimwambia hivyo unakula na block. We utakachokutana nacho huko pm kipokee tu