Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Miss chaga huyu akikujibu pm yako basi ulizaliwa wakat wa jua la saa sita
 
Hahahhaha poleeee, mie sina hamu na PM

Ilishanifanya nikakesha hadi kunakucha. .....

Ilishanifanya nikashinda njaa kutwa nzima.....

Ilishanifanya nikachelewa mahali.....

Sina hamu na PM....

Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja. Tatizo langu ni kuwa napenda sana kuongea siwezi kuacha kuongea.
Ahahahahah, nakumbuka na mimi nshakufuataga pm na ka ID kangu kengine, tulichat sana ila kitu nilipenda uko humble sana, mcheshi flan hvi. Miaka miwili imepita
 
Shida itakuwa nn..Kaka mtu Ebu fuatilia
Kuna kipindi alikuwa analalamika matumizi hutoi, so may be kaenda kwa shangazi kulalamika. Ila kwa heshima yako ntafuatilia huko huko
 
Kuna kipindi alikuwa analalamika matumizi hutoi, so may be kaenda kwa shangazi kulalamika. Ila kwa heshima yako ntafuatilia huko huko
Teh teh..Dada yako haridhiki..Ebu fuatilia bwana shemeji
 
Back
Top Bottom