fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 232
Mbona natajwa tajwa sana pande hii, vipi kuna tenda yeyote tuongelee PM..!? [emoji6]Teh..fundi weweeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona natajwa tajwa sana pande hii, vipi kuna tenda yeyote tuongelee PM..!? [emoji6]Teh..fundi weweeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baki na chupi zakoMbona natajwa tajwa sana pande hii, vipi kuna tenda yeyote tuongelee PM..!? [emoji6]
Hutaki huduma za ziada ukiachilia mbali vyupi..!? Maana hio ya vyupi ni extra ila huduma zitolewazwo mahususi ni saloon service na masaji ya Papuch*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baki na chupi zako
Hahaaa jitahidi kuumaliza best unipe summary, teh! mwenzio nimechemsha, hapa nasoma notifications tu sasaHahaaaaa. Yaani hapa nauchungulia tena duuh. Umekimbia hatari.
Hapa nazidi kuamini kwamba kweli Pm ndio mambo yote ndani ya jf.
Sihitaji mkuuHutaki huduma za ziada ukiachilia mbali vyupi..!? Maana hio ya vyupi ni extra ila huduma zitolewazwo mahususi ni saloon service na masaji ya Papuch*
Hahahaaaaa. Akili yako unaijua mwenyewe. Nimecheka kwa nguvuuu#7.......naipenda sana hii namba!
Milele aminnaa..Tumsifu Yesu kristu
Yuko pouwa kabisa...! AnakusalimuMilele aminnaa..
Sakayo mzima
Mambo sweetieSihitaji mkuu
Poa shem lake...mzima?Mambo sweetie
Mzima kabisa? Za wewePoa shem lake...mzima?
Niko poaMzima kabisa? Za wewe
Mwenza mbona umenikimbia tenaSie kushare sio shida kwetu mwenza.
nimemkipu bizeMwenza mbona umenikimbia tena
Ndoa za kungonoka usiku asubuhi inavunjikahuko PM kunatengeneza ndoa pia
Ngoja nianze kucheka chekaUtakuwa upo serious sana..Wanakuogopa
Yangu pia naiona kwa kweli. Pm idumu tu.huko PM kunatengeneza ndoa pia
Kule?Mwenza mbona umenikimbia tena