Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Miss chaga huyu akikujibu pm yako basi ulizaliwa wakat wa jua la saa sita
 
Ahahahahah, nakumbuka na mimi nshakufuataga pm na ka ID kangu kengine, tulichat sana ila kitu nilipenda uko humble sana, mcheshi flan hvi. Miaka miwili imepita
 
Shida itakuwa nn..Kaka mtu Ebu fuatilia
Kuna kipindi alikuwa analalamika matumizi hutoi, so may be kaenda kwa shangazi kulalamika. Ila kwa heshima yako ntafuatilia huko huko
 
Kuna kipindi alikuwa analalamika matumizi hutoi, so may be kaenda kwa shangazi kulalamika. Ila kwa heshima yako ntafuatilia huko huko
Teh teh..Dada yako haridhiki..Ebu fuatilia bwana shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…