Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Wengi kutakana ila wengine wanakuja kirafiki kabisa na mwingine hata kukutaka anakutaka kistaarabu mnakataana kistaarabu mnaendelea kuchat kistaarabu bado. Wengine jamani. Daaah. Mtu anakwambia anataka kufanya nini sijui tena bila hata salamu.hahaha inaonekana wengi PM wanaitumia kutakana tu na ndio tatizo hilo.