Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Kweli lakini wengine wanashindwa kuelewa kule ni kama huku mtaani tu. Kuna mtu mtakua mshkaji mwingine atakua beb mwingine atakua mtoto kaka dada etc na wengine pia huwez kuclick nao. Mwingine akija pm anataka mzoeane wakati wewe unaona kabisa huwezi kumfanya hata kuwa babu yako. Kuna watu wanakuja pm wanachat kishkaji kabisa hamna hata kuombana namba
Nifundishe namiii
 
Mwungine alikuja ananiimbisha mistari ya kitoto asee dah!!alivoona namtolea nje alintukana matusi sio ya hii sayari....
Mwisho ananiambia endelea kuringa,unakataa saivi badae unaanza kuhangaika kwa waganga upate dawa ya mvuto ili upewe hata salamu na hutoipata[emoji3][emoji3][emoji3]
Nlicheka tu mana napenda sana kucheka
 
Back
Top Bottom