mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Hahaaa hapa leo mi ni kucheka tu best.Sioni ukitiririka best. [emoji85]
Mi nahisi PM yangu haina soko best, tatizo huu uhenga nahisi, teh! So sijawahi kutana na hivi vimbwanga
Halafu PM members wangu hawazidi 3, ni wahenga wenzangu, hatunaga kuchat chat kivile pyem, tulishahamiaga zetu Whatsapp na tunafahamiana