Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

sitasahau kuna dada aliandika anatafuta kampan na mtu wa kujirusha nae...nikajiona mjanja nikaenda pm fasterr...kimbembe yeye yupo dar mimi mkoa mwingine...yeye anakuaga sana bussy ila tulienda ivo ivo mpaka whatsApp...nilichokuja kuharibu niliweka dp inayoonyesha timetable ya UE(university exam) kipindi nipo chuo..
hapo hapo akasema ha date wanafunzi[emoji23][emoji23][emoji23]...nikakosa papuchi jamani[emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah,huyu bila shaka alikuwa dada yake nduli, hawezi kukufanyia unyama huo mtoto wa mwanamke mwenzake, mapenzi yanauma jamani, yaani mtu amekuvuta mpaka kileleni halafu anakuachia kama jiwe ghorofani,pole sana mwanafunzi wa UD
 
Back
Top Bottom