Chunga Sana
Senior Member
- Feb 3, 2015
- 117
- 88
Mie imenisaidia nilisumbua sana mademu PM kwa kuona na kuvutiwa profile pics zao, Alhamdullah mwaka juzi nikamnasa mmoja na tumepandena sana hivi sasa nimemuengage na Juni namuoa. Long live JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Shunie hebu nicheki PM maana profile yako iko restricted. Shunie jamani ShunieMbona sijaifunga ipo wazi kwahiyo itakuwa nini
Aise embu niambie pm yangu inazingua tunafanyaajeMie imenisaidia nilisumbua sana mademu PM kwa kuona na kuvutiwa profile pics zao, Alhamdullah mwaka juzi nikamnasa mmoja na tumepandena sana hivi sasa nimemuengage na Juni namuoa. Long live JF.
Mkuu achana na mambo ya kwa profile wala sifananii nae
Ngabu [emoji15][emoji15]Shualina....
Ngabu [emoji15][emoji15]
Hiyo avatar inanimaliza mm [emoji4][emoji4] hayo macho sasa
Nimalize tu hakuna namna jaman [emoji4]Ahahahaaaaa.
Nami nitahakikisha nakumaliza tu maana hakuna namna.
Nimalize tu hakuna namna jaman [emoji4]
Usinibanie basi una uzee gani unaonekana una nguvu zako kwa avatar jamanIla mi mzee ujue....teh teh teh
Nataka nikuone unavyofanana lazima utakuwa mtamu si haba.Mkuu achana na mambo ya kwa profile wala sifananii nae
Unavyohisi tofauti mkuu me ni mtu mzima halaf kibonge mfupi mweusiNataka nikuone unavyofanana lazima utakuwa mtamu si haba.
Tena nyie ni watamu balaaaUnavyohisi tofauti mkuu me ni mtu mzima halaf kibonge mfupi mweusi
Unateswa na kivuli chako......Ila mi mzee ujue....teh teh teh
Unateswa na kivuli chako......
Bora ungekubali matokeo ukajikalia kimyaUnahangaika kweli aisee.
Unanifuata kila mahali.
Groupie.
Bora ungekubali matokeo ukajikalia kimya
Hongera sana mpendwa!Ndio amenikula.