HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 996
- 2,267
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss Natafuta vipi hukumtokea?Niliowafuata Pm
Evelyn Salt huyu anaringa kama anakunya keki hadi akawa hanijibu nikamuuliza yaani hadi mimi
alichonijibu sasa
espy huyu nilifanikiwa
Madame B huyu nilifanikiwa
Mama Sabrina ananijibu kwa mkato
Mzigua90 nahisi mimi ndio ananifungulia thread humu
Sky Eclat huyu anamuachiaga mumewe achati na mimi
miss chagga yaani salamu tu naambiwa nitume hela ya vocha kwanza
nitaendelea
tulia nikuPM na wwHahaaaaaa. Aiseeeee.
Jf raha sana.
Hahaaaa!!!Hongera sana mpendwa!
Hivi upo? Umeadimika sanaHahaaaa!!!
Nipo mama, miss you.Hivi upo? Umeadimika sana
mimi ndo hata msj zang hazijibiwi.. jmn wadada nioneeni huruma mweee!!Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM.
Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya.
HR 666 njoo let us share the experience
natamani kuingia sanaa pm yako Mzigua90 ila nasita[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu sananatamani kuingia sanaa pm yako Mzigua90 ila nasita
asante ila ngoja nitafute jipya maana nahisi vingi ulishaambiwa...[HASHTAG]#maana[/HASHTAG] kama huna jipya kwa pm ya mtu its borin#Karibu sana
Lolasante ila ngoja nitafute jipya maana nahisi vingi ulishaambiwa...[HASHTAG]#maana[/HASHTAG] kama huna jipya kwa pm ya mtu its borin#
Acha uoga kuja nao tu jiamini we mwanaumeNatamani kuja na uzi " Tuliofanikiwa pm tukutane hapa"
Hahaha,natania tu Shunie, ngoja mambo ya pm yabaki pm!Acha uoga kuja nao tu jiamini we mwanaume
Anza na mimi tafadhali!Naipenda Pm ila sipatagi jamani why
Umeandika madudu gan mkuuMie sijui hata kuitilumia hiyo makitu. Hivi mbatumiana kindugu? Napambana na hali yangu