jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 824
- 1,581
🤣🤣 kwanza nicheke kiasi.
Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe?
Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali mara kwa mara sometimes anapita chuo kunisalimia me nikijua kawaida tu Shem Shem😊 lol.
Basi mazoea yalizidi nilipokuwa nakuwa Likizo na ndio kipindi dada yangu alikwenda Dar es Salaam kwaajili ya issue zake
Nikaona kama bwana yule anataka kunipa duties za mkewe nyingi kuliko kawaida bt kwasababu tayari nilikuwa na akili ya kujiongeza nikaanza kunusa mchezo anaotaka ucheza maana si kwa TIP zile nilizokuwa nachiwa🤣...
Kama ilivyo uvumilivu una ukomo, weekend moja jioni akaomba twende shopping ya hapo nyumbani then baada ya hapo akaniambia tupite sehemu amemiss SAMAKI wa BONASERA, si ndio akafunguka alipokuwa huko kwamba ananizimia sana na ila iwe siri yetu na atanihudumia kila kitu zaidi ya dada🙄, nilimwambia nitamjibu.
Ila toka siku hiyo nilimkwepa mpaka akawa anauliza kama kuna shida, ikawa imetoka mpaka nilipokuja rejea Dar. Ila dada sikumwambia sikutaka mambo yao yaharibike ila niliset gapes tu.
Vipi huko kaka/dadaz.... najua mnatongoza shemeji zenu au mnatongozwa sijui🤣🖐🏾