Tuliowahi tongozwa au mliowahi watongoza mashemeji zenu mpo?

Tuliowahi tongozwa au mliowahi watongoza mashemeji zenu mpo?

Mkuu ungeliwa kabisa, ungekuja kusimulia hapa?

Kutongozwa na kutongoza ni aina ya sanaa kama vile muziki, kuna kupendezwa na kutopendezwa nao.

Muziki usiokupendeza, si kila mtu haupendi, wengine wapo wanaoupenda na kuushobokea.

Na cha ajabu, msomi kabisa unatongozeka kisha unashindwa kujenga hoja za kumpiga chini kisomi shemeji yako na ukaribu wenu akabakia palepale, badala yake unamsema vibaya kwamba ni wa hovyo na kumtenga!

Kutongoza ni kudemand, siyo kosa lile na kumkataa mtu pia siyo kosa, kosa ni kubaka.
1. Uhovyo "NDIO" kuni approach shemeji yake.
2. Sikutaka mambo mengi ndio maana nikaweka gape.
3. Simchukii nampenda ila sio kushare nae mwili. kuna lingine je?🙄
 
1. Uhovyo "NDIO" kuni approach shemeji yake.
2. Sikutaka mambo mengi ndio maana nikaweka gape.
3. Simchukii nampenda ila sio kushare nae mwili. kuna lingine je?🙄
Katika comment yangu, kila kitu nilikiweka sawa kwa kusema kuwa mtongozaji akishatongoza na mtongozwaji akakataa, mambo huishia hapo hakuna kosa, kosa ni kofosi penzi ama kubaka.

Sasa kusema shemeji ni wa hovyo wakati ulimkataa na akaridhika, yanini kuendelea kumlaumu?

Kutongozana kuchukuliwe kama social affairs, kwa hiyo isiwe ni chanzo cha bifu la watu kuitana majina ya ajabu ajabu, kulaumiana, kununiana ama kutukanana.

Unayemkataa kama hajaleta nongwa unaachana naye na kumezea.
 
Shida ya kumtongoza shemeji ni anakua hajui kama upo serious au ni matani kwahiyo anakua dilemma.
Ukimtongoza kwa ishara ama kwa kucheka cheka ataelewa kuwa ni utani kweli.

Hautakiwi kuweka mafumbo tongoza direct kwa maneno yenye kueleweka na rasilimali.

Tengeneza bajeti ya kujifirisi inayoitwa 'kiua undugu' ikamilike kabla ya kuanzisha hiyo project.

Mleta mada yupo kwenye kundi la wanawake locally sana, akikukataa anaanza kutamba na kukutangaza, utadhani kutongozana ni jinai.

Sasa kwangu mimi wa hivi hawezi chomoa, mbinu zote za kudeal na wanawake wa aina yake, zile halali na haramu nazifahamu vizuri.

Akinikataa kwa heshima ntaridhika, ila akinikataa kisha kuanza ngebe zake, nitajua kuwa sasa nipo kwenye ligi huyo lazima nimlale.

Hawezi shindikana kwa pesa, akiendelea kukaza, potelea kwa mbali ntatumia hata ndumba ili nishinde mechi kudadeki.
 
😂😂 Khee, Tamaa tu
 
Hakutumia "UCHAWI WA KIZUNGU" ipasavyo huyo, usingechomoa mbele ya pesa ya kutosha.
 
😂😂 Khee, Tamaa tu
Mkuu siyo tamaa, ni biolojia ndiyo inatulazimisha tuhangaike, wee acha tu.

Hivi sisi wanaume tunatofauti gani na jogoo kwa namna ambavyo hudeal na mitetea, jamani tunastahili kuhurumiwa saazingine.

Mungu asingetuumbia kupenda, au tungelizaana kama miti, ama kama micro organisims mfano amoeba kwa kujigawa mwenyewe ili kuzaa kiumbe kipya bila ya kutegemea partiner, mtu akabakia kwake kwa heshima bila kutafutana, ingelikuwa ni shwari zaidi.

Hakuna ambaye angelimsanifu mwenzake na kuitana majina mabaya ya ajabu ajabu mf:'malaya' ama 'kicheche' nk nk.

Sasa mfumo wetu wa reproduction wa kuwa mpaka uweke mazingira, mi'huwa naona haupo sawa.
 
Inategemea na malezi lakini Mimi siwezi mtamani shemeji yangu!!!!!labda shemeji yangu awe na ndugu yake ndio nitapita naye
 
Kwa ndugu wa mkeo.aisee labda ajilengeshe
Ila kwa mademu wa nje
Kuna nyumba moja nimekula wanne
Pengine mtu na mdogo wake
Pengine mapacha
 
Back
Top Bottom