Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Tutaoa tuu , haraka hazina mpango mwema[emoji23][emoji23]
 
Wakuu wa 90's hali ikoje huko kwako?
Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23]

Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Au tusubiri amalize miama yake 10?

Khaaaah!!!
Saa hvi ni mwendo wa kusaidiana kisela tena ubahatike kupata mtu mtakayeelewana nae vinginevyo utaishia kupata ugonjwa wa moyo na pressure tu
 
Back
Top Bottom