agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Vizuri.Mimi huwa na deal na wale waliofikia legal age.
Huko kwa 13 yrs ni ubakaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri.Mimi huwa na deal na wale waliofikia legal age.
Huko kwa 13 yrs ni ubakaji.
Huon hata wewe nmesubiri ufike 20+Vizuri.
Mimi Nina 13 yrsHuon hata wewe nmesubiri ufike 20+
Ndio nkaanza kukupigia jalamba
Unasema????????Huon hata wewe nmesubiri ufike 20+
Ndio nkaanza kukupigia jalamba
Wanaume hamuachiiMmmh
Unajipunguzia umri ili uninyime ????
NimemwambiaUnasema????????
Endelea nae. TuachaneNimemwambia
si sahihi kufukuzia watoto walio chini ya legal age.[emoji1]
Good morning mai waifu.Wanaume hamuachii
Not so fast. Tunaachanaje asubuhi yote hii ????Endelea nae. Tuachane
Tukaachana nimekufumaNot so fast. Tunaachanaje asubuhi yote hii ????
Huyo binamu yangu bna. Tunataniana tu.Tukaachana nimekufuma
Najua binamu nyama ya hamuHuyo binamu yangu bna. Tunataniana tu.
Saa hvi ni mwendo wa kusaidiana kisela tena ubahatike kupata mtu mtakayeelewana nae vinginevyo utaishia kupata ugonjwa wa moyo na pressure tuWakuu wa 90's hali ikoje huko kwako?
Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23]
Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Au tusubiri amalize miama yake 10?
Khaaaah!!!
Kwetu huwa hatuwali bnamu zetu.Najua binamu nyama ya hamu
Wanakwambia sitaki wa kunichezeaSaa hvi ni mwendo wa kusaidiana kisela tena ubahatike kupata mtu mtakayeelewana nae vinginevyo utaishia kupata ugonjwa wa moyo na pressure tu