Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi"

Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000

Tulijifunza kwamba mfugaji bora si yule anayetegemea Kumbukumbuku zake kichwani bali ni mwenye mfumo mzuri na bora wa kumkumbusha ila asisahau

Ndio maana tukakutengenezea Fuga App,ikupe ratiba ya Chanjo na ikukumbushe Chanjo siku moja kabla na siku ya Chanjo kupitia SMS za kawaida

Copy of F-2_20251220_110532_0005.png

Pakua Fuga App Leo Playstore usimamie ufugaji wako wa kuku kiurahisi zaidiTuli
 
Yaani usahau kuwapa kuku chanjo kweli
Mimi huwa naamka mapema natoa vyombo naosha vizuri hapo inakuwa imepita kama dakika 45
Nikiweka chanjo wanakunywa fasta mana wanakuwa na kiu
Hata Lisaa haliishi nishamwaga na kuisha vyombo tena na kuweka maji mapya
 
Hongera sana,ila kuna kupitiwa ,pia kama unafuga kuku wa muda mrefu,unaweza sahau kiurahisi zile Chanjo baada ya miezi 3 au kama wewe ndo mgeni kwenye Ufugaji unaweza usijue ratiba
 
Back
Top Bottom