Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi"

Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000

Tulijifunza kwamba mfugaji bora si yule anayetegemea Kumbukumbuku zake kichwani bali ni mwenye mfumo mzuri na bora wa kumkumbusha ila asisahau

Ndio maana tukakutengenezea Fuga App,ikupe ratiba ya Chanjo na ikukumbushe Chanjo siku moja kabla na siku ya Chanjo kupitia SMS za kawaida

View attachment 3518196

Pakua Fuga App Leo Playstore usimamie ufugaji wako wa kuku kiurahisi zaidiTuli
Vifarnga wangu wanajikinyata kama wanasikia baridi alafu wanakakamaa kila siku naokota kimoja kimoja kimekufa shida ni nini
 
Vifarnga wangu wanajikinyata kama wanasikia baridi alafu wanakakamaa kila siku naokota kimoja kimoja kimekufa shida ni nini
Mkuu nenda na kifaranga kilichokufa hapo mifugo ofisi zao zipo kila mkoa kama una hela tafuta bwana mifugo akupe darasa tatizo nini..
 
Back
Top Bottom