Hongera sana,ila kuna kupitiwa ,pia kama unafuga kuku wa muda mrefu,unaweza sahau kiurahisi zile Chanjo baada ya miezi 3 au kama wewe ndo mgeni kwenye Ufugaji unaweza usijue ratibaYaani usahau kuwapa kuku chanjo kweli
Mimi huwa naamka mapema natoa vyombo naosha vizuri hapo inakuwa imepita kama dakika 45
Nikiweka chanjo wanakunywa fasta mana wanakuwa na kiu
Hata Lisaa haliishi nishamwaga na kuisha vyombo tena na kuweka maji mapya
Approach nzuri ila unatakiwa kuweka na maladirio ya banda, wafanyakazi, umeme etcKweli kabsa,na ndani ya App kuna kipengele kinaweza kukusaidia kufahamu unahitaji mtaji kiasi gani ili kuanza ufugajiView attachment 3518204
Chanjo ipi unawapaYaani usahau kuwapa kuku chanjo kweli
Mimi huwa naamka mapema natoa vyombo naosha vizuri hapo inakuwa imepita kama dakika 45
Nikiweka chanjo wanakunywa fasta mana wanakuwa na kiu
Hata Lisaa haliishi nishamwaga na kuisha vyombo tena na kuweka maji mapya
Chanjo ipi unawapaYaani usahau kuwapa kuku chanjo kweli
Mimi huwa naamka mapema natoa vyombo naosha vizuri hapo inakuwa imepita kama dakika 45
Nikiweka chanjo wanakunywa fasta mana wanakuwa na kiu
Hata Lisaa haliishi nishamwaga na kuisha vyombo tena na kuweka maji mapya
Hapo kwenye kichaka cha "subjective" ndo dhahabu ilipo mkuu.Umeme upo, Makadirio ya banda ni very subjective,wafanyakazi pia ni subjective
Ushawai kufuga kuku my?Chanjo ipi unawapa
Sio mbili tu mkuuu nneUshawahi kufuga kuku batch 2 kwa wakati mmoja za broiler
Sasa swali gani Hilo maana Hadi sindano nachoma kukuNdio,nimefuka kuku aina zote; wa nyama,wa mayai na chotara