Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

Sio mbili tu mkuuu nne
Kila week natoa
Sasa swali gani Hilo maana Hadi sindano nachoma kuku
Hongera sana,nimekuuliza hvo kwa maana ukiwa na batch zenye umri tofauti kwa wakati mmoja lazma uwe na namna ya kukumbuka batch ipi inahitaji Chanjo ipi kwa wakati upi,unatumia njia gani kukumbuka na kutunza rekodi hizo wewe binafsi?
 
Mkuu broiler wana ugumu gani labda wa mayai
Naongelea una batch 4 kwa wakati mmoja,sio kila mtu atakumbuka batch ipi inahitaji chanjo ipi kwa wiki ipi,bila kuwa na mfumo mzuri wa kumkumbusha, kama wewe huwa unakumbuka kwa urahisi kila kundi tarehe na aina ya Chanjo kwa makundi 4 kwa wakati mmoja bila mfumo wa kukumbusha,hongera
 
Mfumo ni mzuri mkuuu hata Mimi nautaka
Ila hata manual KAZI inaenda fresh tu
Weka na wa ngombe wa kupandikiza wa kutrace heat period
 
Unawapa kila baada siku ngapi?
 
lipia tangazo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…