Tatizo sio material (vifaa) tu Ila tatizo lingine lililojificha ndani ya ukosefu wa materials (vifaa) ni umasikini vifaa vingi ni gharama, watu wa chini wenye ujuzi hawawezi ku-afford vifaa vinavyouzwa gharama ya juuAkaniambia uwezo wa kutengeneza wanao tatizo material
Nop tunaaangalia future ya wafanyakazi.Yaan hapo hakuna point sawa sawa useme binadamu ashindane na gari kukimbia.
Cha msingi unapaswa ujue bila Binadamu hakuna AI.
MFANO.
Hiyo AI inataka close supervision kumaintain data quality... + iwe up to date.. + Security hivyo vyote vinategemea binadamu.
Hakuna uchawi wala ushirikina kwenye issues za Computer hata wewe ukielekezwa na ukizingatia unafanya, I was like you siku nabuni AI ya Sauti niliondokana na hio mentality ya kijinga, hata wewe unaweza kikubwa uwe na vifaa km hauna vifaa sahau kufanya makubwa na vifaa sio gharama ndogoKwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao.
Na assume hujui AI inafanyaje kazi kwa ulicho kiandikaBinadamu katika kufikiria ana capacity fulani kuna ile ya general ila kuna ya mmoja mmoja ila kwa uwezo wa juu kabisa binadamu ana limit katika kufikiria kwa vile ubongo unachoka tofauti na Al .
Perfection ,Binadamu haweza kufanya kitu kikawa perfect kutokana na asili yake Al wanaweza kufanya moja kwa moja bila ya kupindisha ..
Level of respond ,Al anaweza kurespond fasta kama nervous system ya binadamu katika utendaji haswa ishu kama kujibu swali hili kwa akili za binadamu hatuna japo mfumo wa neva wa binadu unaweza
.
inafanyaje kazi ? eleza hapa!Na assume hujui AI inafanyaje kazi kwa ulicho kiandika
Nikueleze ipi Machine Learning, deep learning au data science na mining!?inafanyaje kazi ? eleza hapa!
zote wewe umekariri ile kusoma darsani ila hujui kama unabisha eleza? Too theoretically wakati wenzio wanafnyia kaziNikueleze ipi Machine Learning, deep learning au data science na mining!?
Huyo hua anapenda kususa Susa Kama vile Yuko kwny M.P na hapendi kua challenged.umejikuta mwamba kuchanganya kiswahili na kingereza. Lugha yako tatizo ya kigeni ndo kabisa. Tulizana hoja yako ni finyu sana. Udini umeuona wapi. Funga sehemu ya maoni basi .
Artificial intelligence (AI) refers to the simulation of human intelligence in machines that are programmed to learn from their experience and perform tasks that would typically require human intelligence, such as visual perception, speech recognition, decision-making, and language translation. There are several approaches to developing AI, but the most popular ones are machine learning and deep learning.Nikueleze ipi Machine Learning, deep learning au data science na mining!?
Computer inakua chini ya usimamizi wa mtu anaitwa IT (middleman between users and producers/manufacturers) hapa kuna maelezo mengi mengi Ila subirihapa sawa na kusema Computer iko na uwezo kuzidi aliyeitengeneza nitakucheka sana maana mwanadamu hata robo ya uwezo wake bado hajautumia
👏👏👏we ndo unaelewa jinsi Al inafanya kazi sio wazee wa theory..Computer inakua chini ya usimamizi wa mtu anaitwa IT (middleman between users and producers/manufacturers) hapa kuna maelezo mengi mengi Ila subiri
Sasa programmers wamekaa chini wameunda mfumo ambao computer itajiendesha yenyewe pasina kuhitaji msaada kutoka kwa IT may be kwa kuifanyania updates za hapa na pale Sasa hii ndio wakaiita AI inajiendesha kwa kutumia akili bandia iliyopandikiziwa
Mfano:
Mimi nilijaribu kutengeneza ya Sauti (Audio) kwa ajili ya ku-play mziki
Niliiset baadhi ya Miziki ndani ya program then baada ya kumaliza naongea may tuiite B nasema "B play Marioo - For You" inaitiki "Okay now play Marioo - For You" alafu mziki unaanza kupiga
Usichokielewa hayo maelezo ya "Okay now playing Marioo - For You" nakua nimeyaandika Ila naidirect program moja kwa moja kwenye folder ya mziki iliyopo kwenye computer yangu then inajiplay kwenye VLC
It's possible...
Mkuu wewe ndio umekalili na unaongea based on your perception na unalazimisha ziwe fact zikubalike na kila mtu.zote wewe umekariri ile kusoma darsani ila hujui kama unabisha eleza? Too theoretically wakati wenzio wanafnyia kazi
Nimeonyesha Al yupo juu...Japo Al ni akili bandia ola zina perfection rejea points zangu .Mkuu wewe ndio umekalili na unaongea based on your perception na unalazimisha ziwe fact zikubalike na kila mtu.
Nimesema hujui unachongea baada ya kuona una compare akili ya mwanadamu na hizi AI.
Mkuu AI hata siyo akili wala haina uhusiano na akili.Nimeonyesha Al yupo juu...Japo Al ni akili bandia ola zina perfection rejea points zangu .
Mifumo tunatumia sio theory za kusoma kama wewe ...Ntakupa mfano Robot ya Al unaweza kuambia 235×156 = kwa zinazodetect sound ikakujibu fast ilq binadamu sio rahi labda yule mweny kipawa ...Hapa kuna perfection (anakupa jibu sahihi ) na level of respond ( Atajibu haraka na binadamu labda akae chini apige mahesabu achukue mda)
Usicomplicate hizo ni akili bandia ila zipo programmed ni hatari kwa binadamu wa kawaida Ingia youtube uone Al ...Itatumika kila ..
Unatakiwa uone sio kusoma kama mwanafunzi ninayo magroup kibao since mwaka hata hyo chatgpt ilikuwa bado .
AI ni dunia nyingine mkuu, Ingawa ni kipengele kidogo tu kwenye masuala ya computer Ila impact yake ni kubwa mno ndio maana kwenye uundaji wake unahitaji umakini wa hali ya juu kuhakikisha inakua secure isije ikawa attacked kirahisi yaan kwenye issues za Computer AI haikwepeki kamwe, Ila ukikosea inaweza ikaingiwa na virus ikafanya kinyume hapo ndio mtiti unapoanzia, hata zile za hospital zinazotibu macho na meno pia zikikosewa kusimamiwa au zikiingiliwa na wadudu zinaleta madharaAl Itakuwa na perfection kubwa kuliko binadamu ukicommanda inafanya fasta.
😂😂kwani mi nasemaje hapa hao robot ni programmed kwamba wanachukua data sehemu tofauti katika servers ,websites ,sijui data zote...Mkuu AI hata siyo akili wala haina uhusiano na akili.
Ndio maana kuna msemo wanasema artificial intelligence is not intelligent and deep learning is not learning.
Hizo ni mathematics tu, mtoto mdogo ukimuonesha huyu ni mbwa atajua ni mbwa lakini model ya artificial intelligence inahitaji data million kuifundisha huyo ni mbwa.
ile episode ya Tommy and jerry ile robot alikuwa inazuia jerry ile mwisho wa siku ilikuwa inafukuza haichoki mpaka inaharibu nyumba.AI ni dunia nyingine mkuu, Ila ni kipengele kidogo tu kwenye masuala ya computer Ila impact yake ni kubwa ndio maana kwenye uundaji wake unahitaji umakini yaan kwenye issues za Computer AI haikwepeki kamwe, Ila ukikosea inaweza ikaingiwa na virus ikafanya kinyume
Ukiangalia movie mfano Ex Mashina (2004) utajifunza kitu pia angalia The Matrix (1999) ukiangalia utaelewa jambo especially hio The Matrix
Mkuu ndio maana nakuambia hujui kitu kuhusu AI acha kuangalia muvi soma vitabu.😂😂kwani mi nasemaje hapa hao robot ni programmed kwamba wanachukua data sehemu tofauti katika servers ,websites ,sijui data zote...
Kwani wanaenda chooni hao sio binadamu wamesema artificial intelligence akili bandia zitakazofanya vizuri zaid ya binadamu japo zipo bias maana zinaweza kuleta Data za uongo ila kwa kulinganisha ni binadamu wapo perfect kwa kiasi kikubwa katika utendaji kazi hawa hawali ,hawalali wanafanya kazi kwa command prompt iwe sauti au maandishi..
Kama Ni mfuatilia ebu tafuta cartoon ya Tommy&jerry ile episode analetewa yule robot na Tommy akafukuzwa kazi yake ila baadae walionyesha madhaifu ya ile robot ilikuwa inaharibu kila kitu mule ndani kumkimbiza jerry.
Ndio maana kuna kitu kinaitwa algorithms hiki ndicho robot linafanya, mfano ukiingia Google leo Google wameset marobot kwenye engine yao Yale marobot kazi yao ni kukuangalia wewe unapenda ninizipo bias maana zinaweza kuleta Data za uongo